Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Nina Gf Wangu(anajitegemea) Ambaye Kiukwel Ninampenda Sana Na Ndio Maana Hata Aliponizuia Kuwa Nisimwage Wino Mpaka 2we Ktk Ndoa kwa Kuwa Yeye Ni Bikra Na Hakuna Anayeistahl Mpaka Yule Atakayemuoa(mimi),
Mzee Nikanywea Na Ku2lia

Ila Maisha Ya Mahusiano Haya Kiukwel Naish Kimashakamashaka Hasa Ukizangatia Nampenda Halafu Mwisho Wa Siku Nikapigwa Pilipili Ya Macho
Na Hyo Bikra Yake kama Mwana jf Fulan Hv.
Huyu Gf Mimi Ni Mwanaume Wa Pili Anadai Wa Kwanza Alianza Nae Mahusiano Toka Shule Na Wakadumu Kwa Miaka Miwil Kisha Wakaachana
Ingawa Anadai Nae Hawakuduu Nae.

Wajamen Naomba Msaada Namna Ya Kumjua Mwanamke Bikra... kwani Nimechoka Mwenzenu Na Hizi Propaganda Zake

Suala La Pili Ni Kwamba Huyu Gf Wangu Kila Wiki Anavaa Nguo Mpya Vlievile Hata Kichwan Yaan Ni Bandika Bandua Fashen Za Nywele After 2 Wiks
(najua Mshahara Wake Haukiz Mambo Yote Haya)

USHAUR WAJAMEN PLZ MWENZENU NIMEFUNGWA!!
 
Kweli umefungwa macho na neno bikra.

Jaribu kufanya uchunguzi ili kubaini anapata pesa wapi za kufanya hayo mambo yote.

Lakini kwa mazingira hayo ina onesha kabisa siyo muaminifu kwako kwani matumizi yanatakiwa yaendane na kipato.

Kwanza wewe unatakiwa umuulize pesa ana pata wapi
 
dah!Kweli Mwanangu Nitafanya Uchunguzi Ila Roho Inamung'unyuka!
 
anakuona zoba huyo,piga chini.

Wengi Wape!
USHAURI WENU NITAUFANYIA KAZI MPAKA NIFANYE UCHUNGUZ MAANA HAIWEZEKAN JIBABA Nijitume Kwake,Kumbe Naonekana wa KUZUGIA/MSHIKA MAPEMBE

Ila Nasubiri Wadau Na Ushauri Zaidi Tafadharini!
 
acha kum-treat like she is special.deal nae kwa makini kama ni mwanake mwingine yeyote-siku utakapoipata hiyo bikra ndo uchekelee!!wanawake bwana..mungu mwenyewe anajua!
 
acha kum-treat like she is special.deal nae kwa makini kama ni mwanake mwingine yeyote-siku utakapoipata hiyo bikra ndo uchekelee!!wanawake bwana..mungu mwenyewe anajua!

U Mean Nami Nimfanye Wa KUZUGIA/MSHIKA MAPEMBE?
Nimekusoma Mkuu...shukran!
 
mwanamke bikra hafanani na maelezo uliyoyatoa hapo. huyo anakudanganya. lakini utajua tu ukweli muda si mrefu haswa ukifanya uchunguzi makini.
 
Ushauri wa humu jf changanya na wako utapata jawabu. Ila ukiambiwa m-bake nawe ukafanya hivyo hata mahakamani hutotuona asilani. Stay safe.
 
Back
Top Bottom