[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kati ya wanawake 10 wawili ni wanaume?sijaelewa
swadakta mkuu, context ya mwanzo nilianza na kuzungumzia idadi ya watu wa kipande hicho ndani ya south, then nikashuka kwa kuonyesha ratio ya jinsi ktk idadi hiyo.... ili uone kwanini kuna mafuriko ya bikra.Atakua alimaanisha kati ya watu kumi, wawili ni me na nane ni ke.
buha h ha hahhahahahahahaa,jamaa katuongopea kweupe jua la saa sita mchanaKati ya wanawake 10 wawili ni wanaume?sijaelewa
Kati ya watu kumi wawili ni wanaumeKati ya wanawake 10 wawili ni wanaume?sijaelewa
Nadhani huyu ndio binadam wa 1 kugundua binadamu pekee ambaye si mwanamke ni mwanaume Ha habuha h ha hahhahahahahahaa,jamaa katuongopea kweupe jua la saa sita mchana
Kwa nini asiende?mtukufu rais wetu naye ataenda kuona live soon
Tutavaa socks mkuuMgosi Shemkunde, umefuata nini huko Swaziland?
Kwahio ukiwa na Switzerlands za kutosha, ni hoteli gani ya nyota 4 yafaa kwa vekesheni hapo Swaziland.
By the way kuna takwimu zimetoka mwaka huu zinatisha sana.