Bikira/mimba???

autorun255

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,105
Reaction score
364
Kati ya mwanaume aliyemtoa mwanamke/binti bikira au aliyemp mimba na kumzalisha yupi mjanja??
 
Huu ni mjadala wa.ki high school
 
nitamshanga zaidi atayekujibu...
 
yaanmtu unakaa nyuma ya kybd ili uje hapa kuuliza utumbo huu kweli?
 
Mods futeni thread za namna zinazokosa staha
 
nitamshanga zaidi atayekujibu...
mimi namjibu haiwezekani mtu afikirie miaka yote hyo leo tumkane, hata nguvu yake ya kuandka tu kaka! Kwake hili ni bonge la lijithread.
 
Jukwaaa liko hili liko makini,yawezekana linaonekana swali la kijinga kwako au lenye maana.
Nimeuliza hivyo coz nimekuta mjadala unaendelea kuhusu suala hilo kuna baadhi wanadhani ni ufahari kumbikiri mwanamke ati utakua umeweka sahihi ya kudumu hatokusahau kamwe vile vile hata ukimwomba mgegedo baade hatochomoaaaaaaaaa....
Kwa upande mwingine wanaona kumpa mimba ni ujanja pia ni heshima.

Nadhan umeshawahi kuusikia/kuona video ya wimbo wa ray j - i hit it first

Jins anavyojigamba yeye alipita kwanza kwa kim kadarshian.

Kwa hio usidharau uzi huu ni mambo yanayotokea kwenye jamii zetu.
Ntarudi tenaaa baadae
 

Inawezekana wewe uko addicted na facebook.com 😡
 
By the way hata ufanye nin mwanamke akikutoa moyoni hakumbuki chochote...... hayo mambo ya cjui nimeweka alama cjui i hit it first ni majigambo tu na ujinga ambao mmeukumbatia ndo mana hatuendeleiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…