Hakuna biashara mbaya kama una soko la uhakika na unalijua soko lako ni lipi,..mimi niliwahi kufanya hii biashara lakini hazikuwa hizi pedi zingine, nilikuwa nauza zile za kufua(huzitupi baada ya kutumia)wadada tunaelewa...haikuwa biashara mbaya na ukizingatia wakati huo hazikuwa zimeenea sana tofauti na sasahivi, nilikuwa nachukulia Burundi nazileta town hadi mikoani natuma,so angalia soko kama lipo fanya business maana hali ya Sasa wapo wanaotumia vipande vya khanga/vitenge na wanaenjoy life na wako salama zaidi😎😎🌝