PreGE2025 Biharamulo kupata bwawa kubwa la ujazo wa lita bilioni 13 kwa ajili ya kipimo

PreGE2025 Biharamulo kupata bwawa kubwa la ujazo wa lita bilioni 13 kwa ajili ya kipimo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,718
Reaction score
27,812
KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO 31,5,2025 SERKALI KUPITIA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO IMEMUHAKIKISHIA MBUNGE WA BIHARAMULO ENG EZRA JOHN CHIWELESA KUWA :

1.Ujenzi wa Bwawa la mwiruzi lenye ujazo wa lita bilioni 13 ,litakalo jengwa katika ushoroba wa mto mwiruzi katika kata ya nyanza na rusahunga.

Ujenzi huo utakuwa na tija kwa wakulima wa biharamulo hasa katika mazao ya biashara

2.Ujenzi wa scheme ya kilimo yenye ukubwa wa hekta elfu kumi na tatu .

Scheme hii itakayokuwa na usambamba wa ushoroba wa mto mwiruzi na bwawa wake utainua kwa kiwango kikubwa kilimo cha mazao ya biashara na chakula wa watu wa biharamulo.

Akichangia bajeti hiyo mbunge wa biharamulo ameishukuru serkali ya raisi samia suluhu Hasan katika kuwafikia watu wa biharamulo.

Biharamulo inamuhitaji sana Eng Ezra Chiwelesa

AKIAHIDI ANATEKELEZA KUWA SHAHIDi

USSR
IMG-20250521-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom