Biharamlo tunaibiwa

Biharamlo tunaibiwa

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
1,751
Reaction score
422
Mwenyekiti wa CCM Biharamlo ameshika tenda ya ukarabati wa barabara za Biharamlo Mjini anacho kifanya anapalua barabara zilizopo na kupata udongo wa asili na kuanza kushindilia na lola bila kumwaga changarawe, je huu si wizi?
 
mbunge wenu mbasa yuko wapi?.hakuna chochote anachofanya zaidi ya kuandamana na babu slaa,
 
Mwenyekiti wa ccm biharamlo ameshika tenda ya ukarabati wa barabara za biharamlo mjini anacho kifanya anapalua barabara zilizopo na kupata udongo wa asili na kuanza kushindilia na lola bila kumwaga changarawe je huu si wizi

tutajie jina lake
 
barabara gani,ya majengo,nyakatuntu,rubondo,boman,bisibo,uswahili, ribath,mjimpya kasande
 
mbunge wenu mbasa yuko wapi?.hakuna chochote anachofanya zaidi ya kuandamana na babu slaa,

Kwakeli anahitaji msaada vinginevyo jimbo litarudi ccm. ilove CHADEMA
 
We ni msubi?.majengo na stend na baazi za rukaragata

mi sio msubi ila nimekulia majengo b na kusomea katoke seminary.tatizo la hapo ni ucdm na uccm yusuph ni kiongozi wa ccm na mara nying hupewa tenda yeye
 
yusufu katri

ulitaka apewe masankala coz navyofahamu tenda hutangazwa na anayeshinda anapewa.we umeona hilo tu.vp kuhusu maji yanayotoka maeneo ya boman tu.shule ya kagango na matibabu hapo teule.hauna uongozi bml
 
Kwakeli anahitaji msaada vinginevyo jimbo litarudi ccm. ilove CHADEMA

nilikuwepo hapo last year umeme ni kero,usalama mdogo hasa vijijini sacos imemalizwa na abdu friends in short u hav to find another kabuye
 
M 23 kutangaza tenda na kupata aliye shinda ndiyo utaratibu. lakini kinacho fanyika hapa ni kuwa inapotolewa tenda wanawatafuta wafanyakazi wa idara husika na kuomba mchanganuo wao hulekebisha kidogo wakienda kwenye ushindani hesabuyao inalingana _
 
Inalingana na yahaliwashauli 98 ya wakandarasi wa hapa hawana elimu ya kutosha kwenye ukandaras tukianza na YUSUFU yeye ni makenika, PONSI darasa la saba fundi selemara aliyejifunzia mitaani. AROBOGAST BUJUNE hajui hata saruji inachanganywaje
 
TEN PASENT yeyesasa hatakufika kwenye eneo la tenda hafiki mfano mzuri jengo la zahanati MBINDI, ADAM GM anatumia kampuni ya IBISA BAGENI hajui chochote, HEMED yeye mpaka harimashauli wamemchoka hapa ukiwa na pesa wewe ni mkandaras. kuhusu masankara_
 
m 23, kuhusu MASANKARA mjasilia mali huyu utamsingizia bule rabda umpe tenda ya kukuletea ndizi sijawahi kumuona akichukua tenda na alijenga uhasama na halimashauli baada ya kugomea mchango wa mwenge kama sikosei ilikuwa 2010
 
M 23, kuhusu kupewa MASANKARA yeye ni mjasilia mali kwenye kilimo hata rais wa zanzibar anajua, na alijenga uhasama na serikali ya wilaya alipo kataa kuchangia mwenge na aligomea ujumbe wa neki ya ccm baada ya kuteuliwa wakati yeye hakugombea_
 
Wakapanga wamnyang'anye kadi sikuhiyo akakutwa yuko shambani alipopata taalifa akaamua kujiunga na chama cha ukombozi CHADEMA
 
Mwenyekiti wa ccm biharamlo ameshika tenda ya ukarabati wa barabara za biharamlo mjini anacho kifanya anapalua barabara zilizopo na kupata udongo wa asili na kuanza kushindilia na lola bila kumwaga changarawe je huu si wizi

Nenda Ofisi ya kata kaombe BOQ akisha kupa nenda kahesabu Idadi ya Vifusi. then uje utuambie hapa ni vifusi vingapi ameweka na vingapi alitakiwa kuweka.
 
wote mmechangia vyema na inaonyesha mnaifahamu vizuri biharamulo na watu wake, kitu kimoja tu mi nitasema kuhusu biharamulo, halmashauri ya wilaya kuna watu ni kama miungu watu, na wanawatu wao wanaowatumia kwa njia ya kuwapa tenda then wananufaika wote, mji ule barabara zake huwa hazibadiliki na hii ni kwasababu ya kutoa tenda kwa mtu ambae hana hata kifaa kimoja cha kutengeneza barabara, me ninavyojua yeye anagerage ya magari na kuna wakati sijui kama mpaka leo alipata tenda ya kutengeneza magari yote ya halimashauri, jeshi na kadhalika. Pale biharamulo hapawezi kubadilika na hayo majina mliyoyataja yooote ndio BIHARAMULO hakuna mtu wa kufanya kitu pale.
 
mkuu ibra upo kaka yangu ni pm.mkuu.kwa sasa bimlo katir hatengenezi magari ya jesh na tenda za kulisha wanajeshi ilifutwa wanapewa posho wakanunue msosi wenyewe .mm naona 2015 vitana wa bimlo wapate mtu wa kuchukua jimbo tunao wengi .
 
nilikuwa napitia shule za bimlo mfano biseco na kagango mambo sio kabisa.hata byabato waliesema hafai sasa hayupo na bado matoto wamezungusha sana .bmlo matu wamebaki kimya na kutegemea shule za nje ya wilaya as prestege kama ibra kisili ulivyo soma
 
Back
Top Bottom