Mkuu umeongea point sana. Huwa kila siku nasema haya maneno ila naishia kuporomeshewa vichambo tu.
Watu wana imani tofauti sana na uhalisia kuhusu Tanzania
Umeifurahisha siku yangu leoKuna baadhi hadi wana amini Dhahabu inapatikana Tanzania pekee ndio maana mchanga unaibiwa ili wakaipande Dhahabu huko makwao.
Hata wacongo wanaamini hakuna nchi tajiri duniani Kama wao 😄😄Kuna baadhi hadi wana amini Dhahabu inapatikana Tanzania pekee ndio maana mchanga inaibiwa ili wakaipande Dhahabu huko makwao.
Wafanye kazi waache starehe za kupindukia.Hata wacongo wanaamini hakuna nchi tajiri duniani Kama wao 😄😄
Hahah juzi walikua wanamtukana Ruto Kule Twitter wakisema aliwahi kuwaponda khs hayo mambo ya kukata sebene.Wafanye kazi waache starehe za kupindukia.
Alikuwa na Watu wachache na mafuta mengi aliyowazulumu Total.Hivi hayati muammar gaddafi aliwesaje kuondoa kodi libya?
Wanaambiwa kuwa Tanzania ni tajiri sana ndio maana wazungu wanatuonea wivu, hadi wanatumia vibaraka kutaka kuingia madarakani ili wapore mali zetu! Walipaswa kuambiwa raslimali zetu ni line zetu za simu maana hizo raslimali ni kiduchu sana. Wakati huo uongo ukisemwa mbona huwa mnakaa kimya?
Mkuu Nchi imejaa misukule hadi sio vizuri..View attachment 2327576
Nimeanzisha huu uzi baada ya kuona comment ya huyu bwana johnthebaptist kwenye uzi mmoja. Naamini pasi na shaka huu ndo uongo mkubwa ambao watanzania wengi wameaminishwa. Hii kasumba ipo kila kona mitaani na kwenye uwanja wa siasa.
Wabongo wameaminishwa na wao wamekubali kwamba nchi yetu ni tajiri sana hivyo wao hawapaswi kufanya chochote wala kulipa kodi bali kuishi bure tu.
TZ tuna rasilimali kama nchi zingine hivyo tusijione special sana. Bongo inaizidi nini nchi kama South Africa, kama madini kule ndo kwao, mbuga za kutosha, natural gas, bahari nk na bado wanalipa kodi.
US ni amongst top producers of gold, oil, copper, natural gas na madini mengine worldwide. US kuna pacific na Atlantic ocean. Kuna national parks kibao grand canyon, Yosemite, Glaciers nk na bado US unaweza lipa kodi hata kwa kujamba tu. Same applies to China na Europe.
TZ haina mafuta wala sio hata top 5 of gold producers in Africa let alone duniani. Hatuna uspesho wowote hizi rasilimali kila nchi zipo. Rai yangu ni serikali iweke mazingira rafiki ya uwekezaji na itanue wigo wa kodi badala ya kukamua vyanzi vile vile kila siku.
Wanaccm kama johnthebaptist huwambii kitu kuhusu Tanzania kuwa na rasilimali. Wanajiona wao wana kila kitu na nchi nyingine hawana hata oxygenRasilimali zipo duaniani kote sio kwamba wazungu hawana ndo maana wanazitaka zenu bali wanazitaka sababu wao wanakazi nazo na nyie mmezikalia tu. Kwa asilimia kubwa wanazo kuliko sisi. US au China tumeizidi nini kwa mfano kwa rasilimali? Wabongo wanadhani US/China hamna natural resource hata moja.