Bigger than Alicia Keys and Aretha Franklin

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,784
Wadau mimi sipondi ila bongo tunahitaji nguvu ya ziada ili kufika hivi viwango.
Huyu dada ni Muisrael anaitwa Rudi Bainesay.
Anaimba hadi hatari, kawafunika wenye hizi nyimbo

Natural Woman by Aretha Franklin, kifupi kamshinda mwenye wimbo

Fallin by Alicia keys, hapa napo kamshinda mbali Alicia Keys.

Hapa napo katisha sana wimbo siujui lakini ni hatari duuh.

We are young- Fun

CC: MGuccI
 
Nyingine hizi hapa

American Boy- Estelle ft Kanye West

Naughty boy- La La La

Take me to church- Hozier
 


Duh! Kuna watu wanakula vitu Vitamu ni balaa!
 
Duh! Kuna watu wanakula vitu Vitamu ni balaa!

Haahaaa,
Kwanini tena braza?
Ila niache unafiki Tangu naangalia X-Factor, American Pop Idol, America+British got talent, The Voice UK+US sijapata kuona vipaji vikiwa vingi namna hii.
Mbona ni balaa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…