Bigger than Adele herself

we kaka naomba utoe avatar yako..Kila nkikutana nayo usiku inanipa maluweluweπŸ™πŸ™πŸ™
 
Samahani nawatoa nje ya mada kidogo but mkisoma endeleeni;

Kuna wakati flani mwaka mmoja kabla cjawa member wa jf, nilikuwa nasoma post na comments tu sikuweza kufanya lolote maana sikuwa member.

Jamaangu yeye alkuwa member, ila ktk post zake nilikuwa nashangaa mbona aki_post hakuna comments zaidi ila ni ya mtu mmoja tu?

Alichonijibu ndo nakumbuka hii yenu, means ana_post then baada ya 30mins asipoona comment yoyote kumbe ana sign avatar ingine na kuji_comment mwenyewe
 
Haaahaa,
Man i'm real.
Sitafuti umaarufu hapa aisee, sema nimekutana na mtu ambaye hulka zimeshabihiana that's all.
Nijijibu mim
 
very wounderful work mkuu wow,ila sam smith ni mzuri sana lakini huyu underground aisehh he has beautiful music talent kweli anajua umenifanya nimkubali sana na nimfutilie huyu contester katka safari yake kwenye hizi show, thank you malcom to share with us,
 
Ed sheeran nae n noma ushasikiliza album yke inaitwa X ile album n kali ndo album nayoona inaweza shindana na ya sam smith in the lonely hour
 
Malcom lumumba, kedrick, MGuccl na wengine naomba muweke hapa album za sam smith, adela,ed sheeran na the weekend ili tupakue hapa hapa
 
Ed sheeran nae n noma ushasikiliza album yke inaitwa X ile album n kali ndo album nayoona inaweza shindana na ya sam smith in the lonely hour
Huyu jamaa anajua sanaa...
Nimedownload hii album yake nimezipenda sanaa hizi nyimbo
Afire
I see fire
Photograph
I'm a mess
Even my Dad does sometimes
 
Huyu jamaa anajua sanaa...
Nimedownload hii album yake nimezipenda sanaa hizi nyimbo
Afire
I see fire
Photograph
I'm a mess
Even my Dad does sometimes

Ed-Sheeran ni fundi balaaaa.
Anaweza hadi kurap.
Na anaweza kuimba na mtu wa muziki wowote ule. Anajua kuandika saana,
That's what makes him good.
Huu wimbo kaandika sana
 
Malcom lumumba, kedrick, MGuccl na wengine naomba muweke hapa album za sam smith, adela,ed sheeran na the weekend ili tupakue hapa hapa

Mkuu kuna maelekezo nimemuandikai MGuccl kwenye page ya kwanza unaweza fuata yote na ukapata album zote hizi
 
we kaka naomba utoe avatar yako..Kila nkikutana nayo usiku inanipa maluweluweπŸ™πŸ™πŸ™

Kwanini sura yangu ikupe maluweluwe?
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
aggyjay
Many women find my face very romantic;It simply drives them crazy.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Pole sana kwako kama uso wangu unakuboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…