MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,643
- 70,599
Honestly Speaking jamaa anajuaa sanaaaHuyu jamaa kamfunika hadi Adele mwenyew, naomba hilo nikiri kabisa.
Hii hatari sasa, khaaaa.
Mungu humpa kila mtu Chupa yake ya Mafuta.
Honestly Speaking jamaa anajuaa sanaaa
Mane thats some strong shit!
Hahaha asante kwa kuniongezea kazi ingine usiku huu mkuuu... ... Nashusha video zote ambazo huyu jamaa yupo...Huyu jamaa nimemuogopa sana.
Hahaha asante kwa kuniongezea kazi ingine usiku huu mkuuu... ... Nashusha video zote ambazo huyu jamaa yupo...
Vibaya mno... Anajua kinyama...Haahaaa,
Umemuelewa jamaa eeh?
Mkuu unamzungumziaje The weekend... Nasikiliza album yake inaitwa BEAUTY BEHIND THE MADNESS..
Jamaa anajua sanaaa.
MALCOM LUMUMBA
Album ya kwanza ya THE WEEKEND kuisikia inaitwa KISS LAND,
ameimba Ballads humo ndani, album nzima ni staili moja.
Sasa kwa kizazi chetu cha entertainment watu hawasikilizi ujuvi wanataka kuruka inakuwa ngumu sana kuuza.
Sure Style Moja... Daah umetisha.. Hata hii nayo sikiliza naona vitu ni vile vile.. Na jikuta nimezipenda nyimbo mbili tatu tuuu.. Because naona ni zile zile.. Sema ni vile anachage vitu kidogo kutoka previously tracks...
MALCOM LUMUMBA
Sure broh... Ya right.. Halafu nataka album ya huyu August Aslina....Sasa ukicheki mtu kama August Alsina kwenye Album yake kabadilika hadi unaogopa,
Ni wa hatari sana, anaweza imba na mtu yeyote. Hata Jeremih naye siku hizi karudi baada ya kubadilika staili.
Hapa August Alsina kwenye Benediction na Rick Ross.
Hapa kwenye Hold You down na kina Chris Brown, Future, Jeremih.
Kabadilika kama siyo yeye vile.
That's why nasema kwa future ya RnB August Alsina akikaza anaweza kufika level za bwana USHER RAYMOND.
Nilichopenda ktk huu uzi wenu ni hiyo style yenu wenyewe wawili MGuccI na MALCOM LUMUMBA yaani mna_badilishana mawazo wenyewe wawili do!!.
Sure broh... Ya right.. Halafu nataka album ya huyu August Aslina....
Kama unayo please itupie mkuuu
HahahahNilichopenda ktk huu uzi wenu ni hiyo style yenu wenyewe wawili MGuccI na MALCOM LUMUMBA yaani mna_badilishana mawazo wenyewe wawili do!!.