The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,547
- 13,259
Mleta Mada ulicholeta ni upotoshaji wa kiwango cha juu. Ukweli ni huu: Mh Rais yupo Marekani kwenye Ziara zake, Alipokuwa Manhattan NEWYORK jana akasikia kijana wake kutoka Tanzania Diamond yupo pia huko na kwa kuwa Mh Rais anawapenda vijana wake akawaambia wasaidizi wake wamuite Diamond, akaitwa na yeye kwa kuwa anampenda Rais wake akafika bila kuchelewa. Walipoanza mazungumzo yao Mh Rais akampongeza kwa namna ambavyo muziki wake unavyoitangaza Tanzania kimataifa hasa baada ya kufanikiwa kuingia kwenye Tuzo Kama MTV, Bet, Kora na Afrimma. Mh Rais akazungumzia anavyofikiria namna ya kumsaidia Zaidi yeye na wasanii wengine wa nchi hii ndiyo akamkutanisha Diamond na mdau mkubwa wa muziki Russell Simmons (siyo 50 Cent) lengo likiwa ni kuangalia namna ya kuwasaidia wasanii wa Tanzania.
Kazi kwelikweli.......................!!