jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,021
sawa...Kwenye ukweli lazima usemwe,huyu dada wa mapokezi Aga khan polyclinic posta amekidhi vigezo vyote vya kuwa mfanyakazi wa mapokezi.
Kwa jina simfahamu,ila wajihi wake ni mrefu na mweusi,mwenye umbo lililoumbika vyema.
Analugha nzuri kwa wagonjwa,kuonyesha kujali na huruma,kutulia hata pale mgonjwa anapomtolea lugha chafu,kuonyesha nia ya dhati kutatua tatizo hata pale mgonjwa anapokwama kihuduma,
Kwakweli ni tofauti sana na wahudumu wengi wa kada ya afya,ni mfano wa kuigwa kwa kweli.
Naamini ma boss zako wanapita humu,waangalie namna ya kukupromote for betterment of your carrier.
Nawasilisha.
nahisi ni wewe mwenyewe, unajipigia promoKwenye ukweli lazima usemwe,huyu dada wa mapokezi Aga khan polyclinic posta amekidhi vigezo vyote vya kuwa mfanyakazi wa mapokezi.
Kwa jina simfahamu,ila wajihi wake ni mrefu na mweusi,mwenye umbo lililoumbika vyema.
Analugha nzuri kwa wagonjwa,kuonyesha kujali na huruma,kutulia hata pale mgonjwa anapomtolea lugha chafu,kuonyesha nia ya dhati kutatua tatizo hata pale mgonjwa anapokwama kihuduma,
Kwakweli ni tofauti sana na wahudumu wengi wa kada ya afya,ni mfano wa kuigwa kwa kweli.
Naamini ma boss zako wanapita humu,waangalie namna ya kukupromote for betterment of your carrier.
Nawasilisha.
Umenikumbusha mbali nlipojifungua alinihudumia vizuri wakat WA kliniki nilikuwa naattend kwake jaman akawa rafki Yangu Sana niliharibika sura alikuwa ananitia moyo alikuwa Mshauri jaman kwakweli ni zaidi ya Dk mnacheka mpk hutamani kutokaKuna mmoja dar group tazara ni dk huyu na jina nilichukua kabisa Joyce anakuhudumia unaweza kupona kabla hajamaliza kukuhudumia ni very friendly dah nilitaka angalau nikae pale kwa mda tupige hadithi maana ye ukiwa ndani hadi na vikazi vidogo vidogo anakutuma
Safi mkuu,kuna umuhimu wa hawa wahudumu wa afya kuwa friendly kwa wagonjwa mkuu,inasaidia hata kwa mgonjwa kupata ahueni mapema.Kuna mmoja dar group tazara ni dk huyu na jina nilichukua kabisa Joyce anakuhudumia unaweza kupona kabla hajamaliza kukuhudumia ni very friendly dah nilitaka angalau nikae pale kwa mda tupige hadithi maana ye ukiwa ndani hadi na vikazi vidogo vidogo anakutuma
Kweli mkuu,inabidi tuwape compliments zao mkuu.Umenikumbusha mbali nlipojifungua alinihudumia vizuri wakat WA kliniki nilikuwa naattend kwake jaman akawa rafki Yangu Sana niliharibika sura alikuwa ananitia moyo alikuwa Mshauri jaman kwakweli ni zaidi ya Dk mnacheka mpk hutamani kutoka