pia sidhani kama ricco kweli amepewa dolllar. walipofungua sanduku kidogo, feza ya ndani ilikuwa nyekununyekundu hivi kama shilingi 5,000 za bongo. alipojaribu kuzishika ricco, haraka haraka akakatazwa.
kwa mara ya kwanza mshindi hakuondoka na sanduku lake la feza. lilichkuliwa na wenyewe na yeye kaondoka bila kitu. last time walikuwa wanapewa walinzi. mambo ya bba hayo.
macinkus