Hii nchi inashangaza sanaHii ndiyo Taarifa ya mwisho niliyoipata kuhusiana na Masalia ya Dinasour huyo?
WABUNGE Kumi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameanzisha kamati maalum ya kuhakikisha sehemu ya mapato ya utalii yanayotokana na mabaki ya mjusi mkubwa aliyeko katika jumba la makumbusho Mjini Berlin nchini Ujerumani yanarejeshwa hapa nchini. Mjusi huyo anatambulika kwa jina la DINOSAUR ambaye mabaki yake yalivumbuliwa zaidi ya miaka 100 iliyopita katika eneo la Tendaguru mkoani Lindi. Tangu kugunduliwa kwa mabaki hayo na hata kusafirishwa hadi mjini Berlin nchini Ujerumani hakuna kiasi chochote cha mapato kilichowahi kurejeshwa hapa nchini ikiwa ni faida inayotokana na utalii wa mjusi huyo hali iliwalazimu wabunge hao wakiongozwa na mwenyekiti Riziki Lulida kuanzisha kamati hiyo .
Kwa nn mkuu?Hii nchi inashangaza sana
WΓ€rtsilΓ€-Sulzer RTA96-C.....Hii ni injini ya meliView attachment 1759872
Kwa suou
Kwa supu huyuu vpUkipata tends
Ukipata tends ya kuuza vilainishi hapo vp mambo yanakuwa mwake mwake
Mkuu hii inakula mafuta?
sasa hapo mafuta si ni hatari? Ukiwasha engine tu nahis 100ltr imeyeyuka
Nilijua tuππGloutΓ³s,chura laini zaidi Tanzania.View attachment 1760023
Uzi unavutia kwa kweliUzi mzuri
mkuu fanya mchakato mawasiliano ya huyu mtoto, maana hapa moyo ushasahau kazi yake tayariGloutΓ³s,chura laini zaidi Tanzania.View attachment 1760023
mount kenya ndio naiona leoView attachment 1760026
πMount Kenya ni mlima wa kwanza kwa urefu nchini kenya na mlima wa pili kwa urefu barani afrika baada ya mlima kilimanjaro. Unakadiriwa kuwa na urefu wa 5199m na vilele vyake viwili vikubwa ni Batian (5199m) na Nelion (5188m).
Mdau stata ni iyo ya blue peke yake au lote ilo....View attachment 1772501
Stata tu mzigo[emoji23][emoji23]
πππππmount kenya ndio naiona leo
Nimeipenda hiiAngalizo katika kuleta vitu vikubwa tuzingatie maadili jamani.
πππacha watu wajawe na jazba walipoitwa Nyani Fc,NOTE:sijataja mtu wala kikundi chochoteView attachment 1761741
πGelada Monkey - Moja kati ya nyani wakubwa dunia ambao wanapatikana katika nyanda za juu za milima ya Ethiopia (Simien Mountains)
niliwahi kuona clip yake,nilibaki mdomo wazi kwa mshangaoView attachment 1765705
Mtu mrefu kuliko wote duniani (Sultan Kosean) akiwa kashikilia Kopo la Pepsi la saizi ya kawaida
View attachment 1765711
Aisee Jamaa ni mkubwa balaa. Huyu ndo inapaswa aitwe "mkuu"ππ
πππππππacha watu wajawe na jazba walipoitwa Nyani Fc,NOTE:sijataja mtu wala kikundi chochote