Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,831
- 11,670
Ndo wanaharakat wetu hao alaf ikfka kpnd cha uchaguz wakishindwa wanalalama wameibiwa kura na mambo mengne wanashindwa kutoa msingi mzuri Sasa baadae wanalalamaWametoka kwenye katiba mpya, wakahamia kwenye tume huru mara sasa wapo kwa msanii kweli hao wanaojiita wanaharakati wananishangaza sana.
HakikaLaana inatutafuna
Wanashindwa kujenga chama chao wenyw kiwe thabit wanaingilia kiki za sanaaMkuu wamenisikitisha mno. Mwanzo mi nilidhani ni wafuasi tu chama kumbe hata viongozi wao wakubwa tu nao wako bize na msanii. Bora ingekua wasanii yani ni msaniii mmoja tu. Jopo la watu kibao linamzonga.
Mbowe yupo kanda ya ziwa leo kaanza kanda ya kati . Bawacha wapo mzigoni ukija kila jimbo linajenga ofisi zao hii haijawahi tokea africa. Unataka wajengeje chama. Ni mgawanyo tu wa majukumuWanashindwa kujenga chama chao wenyw kiwe thabit wanaingilia kiki za sanaa
Sa nteseke nn boss me nawaza Maisha yangu we ndo inaonesha unatesekaUnateseka sana na bado mtateseka
Kwanini uwapangie watu cha kufanya kama hutesekuSa nteseke nn boss me nawaza Maisha yangu we ndo inaonesha unateseka
Nawpangia wakina nani na nawapangia nn? Kama ni wanasiasa binafsi unajua wanapaswa wafanye nn ko kuingilia yasowahusu ndo kuwapangia?Kwanini uwapangie watu cha kufanya kama huteseku
NaniNawpangia wakina nani na nawapangia nn? Kama ni wanasiasa binafsi unajua wanapaswa wafanye nn ko kuingilia yasowahusu ndo kuwapangia?
Wifi sina ila ila niko na wife na kuna nafasi ya kuongeza mke wa pili, are you ready?Who am I?
Maswali kispy
Una wifi?
Waache watu wafanye yao nawe fanya yakoNawpangia wakina nani na nawapangia nn? Kama ni wanasiasa binafsi unajua wanapaswa wafanye nn ko kuingilia yasowahusu ndo kuwapangia?
Hovyo sana hawa yani wao wafanye watakalo wenzao wakifanya wanapata hasiraWewe mwenyewe inaonekana una maslahi kwenye genge mojawapo ndio maana unaumia
Asee ntake radhiwifi sina ila ila niko na wife na kuna nafasi ya kuongeza mke wa pili, are you ready?