Nikaikumbuka siku ambayo mtangazaji wa kipindi ambacho sikikumbuki hata jina cha Channel Ten alimweka msanii Dudubaya kwenye luninga kwa zaidi ya saa nzima akinitukana mimi kila aina ya matusi aliyoona yanafaa, kituo cha televisheni kiliamua kumpa Dudubaya muda wote huo kunitukana mimi bila kupewa nafasi ya kujieleza.
Baadaye nilikuja kugundua kwamba nyuma ya Dudubaya kunitukana kiasi hicho alikuwepo mtu mmoja aitwaye Ruge