Bifu kati ya Sitta na RA

sijuikitu

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
286
12
Quote kutoka mwananchi:

"Mimi binafsi nashangaa kiongozi ambaye ni mbunge ni mfanyabiashara mkubwa mwenye biashara kubwa sana anapata wapi muda wa kufanyabiashara hiyo kama siyo kutumia madaraka yake katika kuendeleza biashara hizo?" Alihoji Sitta. Alisema kuwa wananchi wana macho na wanaona chama hakifai kutokana na viongozi kutumia madaraka kujinufaisha wenyewe na kwamba hiyo ndiyo inayochafua mazuri ya CCM.
 
Sasa hapo bifu iko wapi? mbona fikira zako ni ndogo saana? Huo ni ukweli ulioongelewa na sio bifu. Wewe ulitaka asiongee hicho kitu hata kama ni ukweli? na mbona amerudia statement ya Rais wenu aliyoitoa wakati ule hukusema bifu? haya bwana nyie watz mtu akiongea ukweli mnasema bifu basi tuendelee kudanganyana basi kama ndivyo mnavyopenda.
 
Back
Top Bottom