Boss fanya hivi.Hizi shaving foam naonagankama uzushi tu. Nimejaribu kila aina ila nikinyoa ndevu baada ya masaa kadhaa nakuwa kama mgonjwa wa tete kuwanga.
Nikitumia mashine hata bila hayo madude nakuwa fresh. Nimejaribu kutafut mashine nzuri ya betri nimekosa. Jiulize saloon gani utaenda kunyoa nywele zinginezo ( wakubwa tu )Boss fanya hivi.
Tumia mashine nyoa ukimaliza paka poda kama dakika tatu nawa paka North for men au kuna mafuta yao yana rangi ya chocolate nimeyasahau jina paka utakuja kunishukuru.
Kama upatikanaji wake utakuwa mgumu nunua nivea usiitie maji itie glycerin tu alafu paka, pia hakikisha unaponyoa mashine haikukatikati
Nunua yako binafsi zinaanzia 30-65 elfu ila usipopaka mafuta kidevu kinakomaa kichizi na matokee ya kidevu kukomaa ni mapele yasiyoisha kidevuni yani yanatokea na yanabaki.Nikitumia mashine hata bila hayo madude nakuwa fresh. Nimejaribu kutafut mashine nzuri ya betri nimekosa. Jiulize saloon gani utaenda kunyoa nywele zinginezo ( wakubwa tu )
Zabron Hamis pia mkuu unaweza kutumia FACIAL CLEANSER ukawa unapaka usoni hadi shingoni kila unapoamka na unapolala.
Hapo juu kuna hiyo sabuni ya North for men ndo nayoitumia ni nzuri inanisaidia mimi nayenyoa kila siku kwa sababu kazi zangu haziniruhusu kuwa na ndevu.