BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Ni kweli kabisa!Ufake wa bidhaa za China unatokana na udhaifu wetu kwenye kusimamia taratibu na miongozo ya ubora
SawaNimekua nasoma baadhi ya comments na kusikiliza mawazo ya watu mbali mbali hasa wateja wanaonunua bidhaa mbalimbali kwamba vitu vya China ni FEKI
Napenda kasema ya kwamba kwa China unachoomba ndicho unachopata, mfanyabiashara anaenda kununua mzigo kwa bei "chee" hivyo anapata products ambazo sio quality nzuri na best, lakin ukiwa mwenye connection na ukapata machimbo mazuri huko China na ukapata na watu wanaojua where and how to get those quality products basi unaweza pata best products zenye quality nzuri kabisa tena kwa bei nafuu kabisa, na vyote vinakua graded accordingly, mfano Grade A,B,C na n.k.
Kwa miezi kadhaa, nimekua nina deal na wafanyabiashara wanaonunua mzigo kwa jumla, wanachoagiza kutoka China wanapata, best quality, best price! Bidhaa zinazoagizwa sana ni handbags za kike, shoes/raba za kike au high heels, chupi za kike(cotton), saa za kike, vitenge, miwani za kike, body splash, pantiliner/diaper, mitandio, Madera, gauni fupi Kali, Brazilian hairs, perfume za kike..Na nyingine nyingi.
Karibuni!
Ufake wa bidhaa za China unatokana na udhaifu wetu kwenye kusimamia taratibu na miongozo ya ubora
Mwenzako anajitangaza ili wanaotaka connection wamfuate, we endelea tu kukubaliana nae kwa hizo Asilimia zoteNAKUBALIANA NA WEWE KWA ASILIMIA ZOTE
KUNA DHANA IMEJENGEKA MADE IN CHINA ZOTE FAKE
Naomba nikwambie kwamba ingekua busara kama ungetumia kauli njema kutuelewesha kuliko maneno ya tuhuma!!! Jamaa sidhani kama ameshamuibia mtu kwa kupita andiko lake hilo!! Tafadhali kama nitakua nimekukwaza [emoji120]Chinese is Chinese tu hakuna bidhaa Original na wala asitokee mpumbavu yeyote akakudanganya kuwa kuna bidhaa original from China... huyo ni Mwizi kabisa tena mkuu. Bidhaa za China ikifanya kazi jaribu kisha nunua hakikisha unauziwa kwa bei ya chini usogeze maisha... Hakuna mchina atakae kuambia anauza kitu original maana yeye alishasema anafanya biashara apate pesa ya kula na sio faida sasa akuuzie original kesho akose kufanya biashara kama Muingereza anayejuta kila uchao? Sisi kwetu home mzee wangu alijaza vitu Made in UK hadi leo nikienda home vinatumika kuanzia Sockets, Plugs,Toster,Table Fan, Bulb Holder Main Switch, Pasi n.k even Vijiko Stainless Steel vya Uk... ni Ukumbusho mkubwa sana nikifika Home.
Kitu angalau cha Mchina wa miaka ile Jiko la mafuta ya taa stovu mbili na lichupa la kugeuza tuliishi nalo sana ila tulikuwa tunalitumia mara chache sana umeme ukikatika.
Nasema Tena huyu Mwizi asiwaibieni Chinese now wanafanya biashara tu hakuna kitu bora kwao.
Ukishamuona mtu anasifia ujua lengo lake ni kuibia watu... so ni wa Kumuwahi asije umiza watu ukiwa na huruma kwa watu hawa utaumizwa au unaweza sabababisha watu wakaumia...Naomba nikwambie kwamba ingekua busara kama ungetumia kauli njema kutuelewesha kuliko maneno ya tuhuma!!! Jamaa sidhani kama ameshamuibia mtu kwa kupita andiko lake hilo!! Tafadhali kama nitakua nimekukwaza [emoji120]
Ni kweli mkuu nashkuru kwa hilo!!!Ukishamuona mtu anasifia ujua lengo lake ni kuibia watu... so ni wa Kumuwahi asije umiza watu ukiwa na huruma kwa watu hawa utaumizwa au unaweza sabababisha watu wakaumia...
NAKUBALIANA NA WEWE KWA ASILIMIA ZOTE
KUNA DHANA IMEJENGEKA MADE IN CHINA ZOTE FAKE
Naomba nikwambie kwamba ingekua busara kama ungetumia kauli njema kutuelewesha kuliko maneno ya tuhuma!!! Jamaa sidhani kama ameshamuibia mtu kwa kupita andiko lake hilo!! Tafadhali kama nitakua nimekukwaza [emoji120]
viatu vya mitumba vinavyotoka china unaweza vaa miaka na miaka ila kuna vingine miezi mitatu tu kwisha kazi,unapata kitu cha ovyo kutokana na ufinyu wa pesa yako.Ila kuna ukweli vitu vingi feki vinatoka China japo si vyote