Aliyekusafirishia, kama ni DHL au ARAMEX au FEDEX atakupigia simu na atakupa amaelekezo nini cha kufanya na wapi uchukue mzigo au wakueletee mahala ulipo.
Aliyekusafirishia, kama ni DHL au ARAMEX au FEDEX atakupigia simu na atakupa amaelekezo nini cha kufanya na wapi uchukue mzigo au wakueletee mahala ulipo.
Sawa ila tambua atakaye fikisha mzigo hapa nchini ni moja kati ya hizo kampuni.
Nimetaja kampuni chache ila ziko nyingi, Zingatia Tracking number utakayopewa itaonesha ni kampuni ipi inahusika ku_handle huo mzigo wako hadi unakufikia.