Kwanini Golbachev alikimbilia kwao⁉️⁉️🤔Hawakuwahi ivunja ussr..walifanya kila linalowezekana ila ilishindikana kabisa..USSR haikusambaratika kwa sababu ya marekani..au kazi ya CIA.. Ni tofauti kabisa.
Mkurugenzi wa CIA wa kipindi hicho amehojiwa mara nyingi na kuthibisha hilo.
Hawakutarajia kama tukio lingetokea wakati ule tena kwa kasi vile..
Yule mkurugenzi wa CIA aliamua kujiuzuru baadaye maana anasema CIA ilipoteza kabisa dira hawakujua nini cha kufanya tena..it was a big surprise to them.
Inahitaji makala ndefu kidogo ili tuweze kuelewana nini hasa kilitokea mpaka kusambaratika kwa USSR.
Kwa vile Marekani ndio alikuwa adui mkuu na harakati zake kupitia CIA but wengi huipa sifa kubwa CIA ambazo hata huo uwezo hawakuwa nao wakati huo..bali walikua wanaendelea na harakati ngumu za na kuamini one day sijui mwaka gani watafanikiwa.
Ila sio wakati ule..fuatilia Dr classified documents zao nyingi zinaeleza bayana.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ahaa ahaa ebu niambie walivunja vipi?Walivunja USSR na kiongozi akakimbilia mapumzikoni USA
Hizi danganya toto umepewa na nani. USSR imevunjika kwa sababu za kiuchumi hasa kushuka kwa bei ya mafuta, uchumi ukawa mbaya, vita ya Afghanistan ikawagharimu na wakashindwa progress. Miradi yao mikubwa ilikuwa ni silaha, hakuna innovation kwenye mambo ya kijamii mwisho wa siku bidhaa kubwa kwao ni natural resources na silaha.Walivunja USSR na kiongozi akakimbilia mapumzikoni USA
OkPutin: I wish him (Biden) a good health.
😀 😀 😀,Hata Putin anajua Babu ni mgonjwa so hawezi tunishiana misuli na mgonjwa...
Kwahiyo hakuwezi kuwepo mkono wa third party kwenye hili⁉️USSR imevunjika kwa sababu za kiuchumi hasa kushuka kwa bei ya mafuta, uchumi ukawa mbaya, vita ya Afghanistan ikawagharimu na wakashindwa progress. Miradi yao mikubwa
Hoja za kitoto unazo wewe. CIA na Marekani nzima inakataa kuhusika, research muhimu zote za waandishi na wafatiliaji wa mashirika, binafsi na taasisi wanakataa uhusika wa CIA.Kwahiyo hakuwezi kuwepo mkono wa third party kwenye hili[emoji3480]
Ondoa hoja zako za kitoto
Nenda maktaba ukasome😷Ahaa ahaa ebu niambie walivunja vipi?
Utoto wako ndio unakufanya uamin kuwa CIA wanapaswa kukubaliHoja za kitoto unazo wewe. CIA na Marekani nzima inakataa kuhusika, research muhimu zote za waandishi na wafatiliaji wa mashirika, binafsi na taasisi wanakataa uhusika wa CIA.
Basi taja huo mkono unaosema
Umeambiwa taja huo mkono. Unapiga blah blah!Utoto wako ndio unakufanya uamin kuwa CIA wanapaswa kukubali
Ndionavyojidanganya hivi,mbona wakati Trump anaipelekesha China kwa vikwazo mbona huyo Putin hakuingilia,mHuyo ni mzito sana mkuu
Na hayupo peke yake
Kumgusa Putin ni kumgusa China
Yes, Hio kauli Putin kaitoa kwa upole sana but inaonyeshea inamaana kubwa sanaMshkaj anamwambia mwenzie anamtakia "afya njema" hii maana yake labda B ni mgonjwa au labda hili ni tishio kwamba pind siku novichok itamhusu na hapa ndipo majasus wanapolazimika kuongeza kiwango cha utafutaj taarifa na kwa mazingira haya inaonyesha ni kwa kiwango gani kuwa urusi ni noma linapokuja swala LA ujasusi.
Putin kaongea hivo simply kwa vile Biden ana afya mgogoro na watu wanajua. Uwezo wake kiakili sio mkubwa sana kwa sasa na akitoa hotuba lazima atoe kauli tata kama hatosoma kwenye teleprompter. Trump alikuwa anahutubia kutoka kichwaniMshkaj anamwambia mwenzie anamtakia "afya njema" hii maana yake labda B ni mgonjwa au labda hili ni tishio kwamba pind siku novichok itamhusu na hapa ndipo majasus wanapolazimika kuongeza kiwango cha utafutaj taarifa na kwa mazingira haya inaonyesha ni kwa kiwango gani kuwa urusi ni noma linapokuja swala LA ujasusi.
Nyani haoni.........[emoji16][emoji16][emoji16] Putin muuwajali na wao Ni watakatifu ?? !!!
Huyo mzee kweli mwehu
Kwa kweli [emoji16]Nyani haoni.........