Rekebisha title yako: baadhi ya apps za Bible huwezi kuzifungua bila data on. Ni zile za offline tu ndio hufunguka bila hata mbUkiangalia app karibuni zote kama instagrum fb twiter you tube snap chat whatsap na hata jf au app yoyote ya ku downglod play store huwezi tumia bila kuwasha data.
Lakini app ya biblia ikishaipakua play store unaweza tumia bila hata kuwasha data yaani hata kama huna mb unaingia bila shida .je hii app ya biblia inatumia internet gani kwenye simu?au mungu ameshatulipia bando bila sisi kujua.
Haitumii internet ukiidownload inakuja na data zote, maana ni manenotu, unaweza kukuta biblia nzima hata haifiki 3 MbUkiangalia app karibuni zote kama instagrum fb twiter you tube snap chat whatsap na hata jf au app yoyote ya ku downglod play store huwezi tumia bila kuwasha data.
Lakini app ya biblia ikishaipakua play store unaweza tumia bila hata kuwasha data yaani hata kama huna mb unaingia bila shida .je hii app ya biblia inatumia internet gani kwenye simu?au mungu ameshatulipia bando bila sisi kujua.
Uzi na uishe umeeleza vyemaBiblia nzima inatosha kwenye MB 5 mkuu. Ni kitu kidogo sana kwa computer / simu.
So haihitaji data kwasababu maneno yote yaaliyopo kwenye biblia yanadownloadiwa pale unapoinstall app kwa mara ya kwanza na yanabaki humo.
Bado sijaelewa hataBiblia nzima inatosha kwenye MB 5 mkuu. Ni kitu kidogo sana kwa computer / simu.
So haihitaji data kwasababu maneno yote yaaliyopo kwenye biblia yanadownloadiwa pale unapoinstall app kwa mara ya kwanza na yanabaki humo.
App zinatumia data ili kuweza kupata vitu ambavyo vinabadilika badilika au vinaongezeka kutoka kwenye servers mfano message za whatsapp na post mpya za instagram.Bado sijaelewa hata