Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,117
- 93,193
NAKUSAIDIA,,, WENDA UMESOMA BIBLIA IZI ZA LUGHA RAHISI RAHISI AMBAZO ZIMEONDOLEWA BAADHI YA MANENO NAHATA KUONGEZWA MENGINE NAKUONGEZA VITABU VINGINE KWAMAKUSUDI YA KUPINDISHA UKWELI ..BIBLE’S CONTRADICTIONS
1. Genesis chapter 1
God created adam and eve
Genesis chapter 2
God created adam and then eve later
2. Genesis 2:7 and 2:19
God created a man and then the animals
Genesis 1:24-27
God created the animals first and then a man
3. Genesis 32:30 and numbers 14:14
Men have seen god
John 1:18
No man has seen god
4. Jeremiah 3:12
God does not keep anger forever
Jeremiah 17:4
God does keep anger forever
5. Mathew 1:20
Angel appeared to joseph
Luke 1:28
Angel appeared to mary
6. Mathew 8:5
Centurion came to jesus
Luke 7:3
Centurion sent his elders
7. Mathew 4:5-8
Satan took Jesus to temple and then mountain
Luke 4:5-9
Satan took Jesus to mountain and then temple
8. Mathew 20:29
Two blind men were healed on the road
Mark 10:46-47
One blind man was healed on the road
Wafuasi wa yesu tusaidieni hapa
NOTE:Mimi sio mkristo,budha wala muislam
sielewi kama tatizo lako ni kujua kusoma au ubishi..hebu angalia tena kama unaona hizo mbili zinafananaHuwa napenda sana mjadala unaoeleweka,hapa tunaelekea kusikoeleweka....
Ulichokiandika kwenye thread yako sicho unachoendelea kuandika hapa,hii ni dalili ya kutokuwa makini....
Lakini unaongeza maswali zaidi ya kupunguza.Ni wapi pameandikwa Eve aliumbwa kabla ya Adam?
Ukiwa unajibu hilo swali kumbuka swali la msingi la kuonesha contradiction kwenye hoja yako ya kwanza tu kuhusu kuumbwa kwa Adam na Eve hujaweza kuionesha ni ipi....
PumbaUkiweka swala LA dini katika mabishano hakuna kisichokua contradiction,.. Lakin ukiweka imani katika Mungu wako hata Yale magumu VP utayashinda,na utaiona mbingu na Neema ya ahera siku ikikwisha,..kwa iyo kwa Mungu yaan hata mchanga kwa njinsi ulivo wewe ni mdogo hata kusema neno kumuliza uwez,lakin wew pia ni mkubwa kuliko yote ya hapana dunia na unaurithi wa mbingu,..so don't question something you don't know,
king james version ndio rubbish kabisa,najua hadi lini imetungwa na wakina nani walihusika kuitunga....halafu kuisoma biblia au kuran sio ishu,si vitabu tu vilivyotungwa na watuNAKUSAIDIA,,, WENDA UMESOMA BIBLIA IZI ZA LUGHA RAHISI RAHISI AMBAZO ZIMEONDOLEWA BAADHI YA MANENO NAHATA KUONGEZWA MENGINE NAKUONGEZA VITABU VINGINE KWAMAKUSUDI YA KUPINDISHA UKWELI ..
SO BINAFSI SISHANGAI SANA HOJA ZAKO ....
USHAURI ,, TAFUTA BIBLIA TOLEO LA " KING JAMES VISION " ... USIPOTAFUTA ACHA KUZENGUA WATU KUA SIO MFUASI WA ...... ILI HALI UMEISOMA .
Pumba
Tatizo lako ueona kuwa ninataka kushindana na wewe kitu ambacho sicho kabisa....sielewi kama tatizo lako ni kujua kusoma au ubishi..hebu angalia tena kama unaona hizo mbili zinafanana
1. Genesis chapter 1
God created adam and eve
Genesis chapter 2
God created adam and then eve later
Wapi imeandikwa hivyomkuu contradiction is what came first,..ni muhimu sababu tunaambiwa eva alitoka ubavuni mwa adam,lakini ghafla unaambiwa eva aliumbwa kabla ya adam...mimi naona contradiction
King James version katunga nani mkuu?king james version ndio rubbish kabisa,najua hadi lini imetungwa na wakina nani walihusika kuitunga....halafu kuisoma biblia au kuran sio ishu,si vitabu tu vilivyotungwa na watu
Bwabwa ndio nini mkuuWe utakua bwabwa,..
Hahahahaaaa......Wapi imeandikwa hivyo
Bwabwa ndio nini mkuu
nimekuelewa,ilitakiwa created eve and adam...even so sikuwaza sana...almost hakuna contradiction hapo...Tatizo lako ueona kuwa ninataka kushindana na wewe kitu ambacho sicho kabisa....
Kijiswali kidogo tu mkuu naona unashidnwa kukielewa hadi sasa na naona kama tunaelekea kuanza kupoteza wakati bila sababu za msingi....
Nitakueleza mara ya mwisho na kama hutanielewa nitaachana na jambo hili....
Nukuu yako hapo juu inaonesha kuwa;
1]Mungu aliwaumba Adam na Hawa
2]Mungu alimuumba Adam kisha hawa baadaye
Ninachotaka ni wewe unioneshe kujikinza kuko wapi hapo,basi..
Ukifanya hivyo nitaelekea kwenye jambo lingine.Sijaona uliponionesha huko kujikinza kwenye nukuu yako hii na badala yake naona unazunguka tu mkuu....
Hiyo nukuu yako inafanana na ile nilipokuambia..
1]Ulitengeneza gari na nyumba
2]Ulitengeneza gari kisha baadaye ukatengeneza nyumba
Unaweza kurtuonesha mtoa kauli hizi anajipinga kwa maana au namna ipi?
Okay...nimekuelewa,ilitakiwa created eve and adam...even so sikuwaza sana...almost hakuna contradiction hapo...
nisaidie na hizo nyingine labda utaclear my doubts
noted..naenda kuipitia tena kwa umakini,nitaitoa for now,nikiiconfirm naweza kurudi ikiwa kwenye better versionOkay...
Kwahiyo namba moja siyo contradiction.Unaonaje uka edit hiyo thread yako zikabaki hizo zingine kisha tuendelee kukagua moja baada ya nyingine?
Nakushauri hivyo maana kuendelea kuonesha namba moja ni contradiction wakati ushakubali siyo jambo zuri mkuu....
nimepitia tena na nimerekebisha,namba moja inabaki il nimerekebisha...contradiction ni kwamba chapter 1 mungu aliwaumba adam ana eve pamoja(kwa wakati mmoja..chapter 2 kamuumba adam kwanza halafu eveOkay...
Kwahiyo namba moja siyo contradiction.Unaonaje uka edit hiyo thread yako zikabaki hizo zingine kisha tuendelee kukagua moja baada ya nyingine?
Nakushauri hivyo maana kuendelea kuonesha namba moja ni contradiction wakati ushakubali siyo jambo zuri mkuu....
Mkuumfalme james alipotosha maana halisi ya yale maandiko yaliyokuwa ya wayahudi kupitia tafsiri za shakespear
Sawa...nimepitia tena na nimerekebisha,namba moja inabaki il nimerekebisha...contradiction ni kwamba chapter 1 mungu aliwaumba adam ana eve pamoja(kwa wakati mmoja..chapter 2 kamuumba adam kwanza halafu eve