Mkuu eiyer nadhani ungejaribu kurudia kuusoma uzi kwanza manake hapo umeuliza swali badala ya kujibu swali husika :hebu tujaribu kwenda sambamba na maswali tunayoulizwa YANGU HAYO 2Mtoa mada,ni nini maana ya contradiction?
Mkuu eiyer nadhani ungejaribu kurudia kuusoma uzi kwanza manake hapo umeuliza swali badala ya kujibu swali husika :hebu tujaribu kwenda sambamba na maswali tunayoulizwa YANGU HAYO 2
unajua tangia nasoma nakumbuka sana mwalimu wangu aliwahi kuniambia USIULIZE SWALI JUU YA SWALI BALI JIBU JUU YA SWALI mm nimem critisize ili aweze kurahisisha uzi manake yy akiuliza na ww ukauliza na mm nikauliza utakuwa tena si uzi bali ni nyuzi juu ya nyuzi.umejenga gorofa msingi m'bovu unakomalia kuendelea kujenga rekebisha msingi kwanza.
jibu swali lake tuanzie hapo
unajua tangia nasoma nakumbuka sana mwalimu wangu aliwahi kuniambia USIULIZE SWALI JUU YA SWALI BALI JIBU JUU YA SWALI mm nimem critisize ili aweze kurahisisha uzi manake yy akiuliza na ww ukauliza na mm nikauliza utakuwa tena si uzi bali ni nyuzi juu ya nyuzi.
nani aliumbwa kwanza?adam au eva?1. Genesis chapter 1
God created adam and eve
Genesis chapter 2
God created adam and then eve later
hiki ni kitu kimoja.
wote waliumbwa na Mungu. chapter 2 imeelezea kwenye huo uumbaji jinsi proces/mchakato ulivyofanyika.
i question something that i know...biblia inajipinga kwenye hizo verses,..usiamini vitu blindly black manUkiweka swala LA dini katika mabishano hakuna kisichokua contradiction,.. Lakin ukiweka imani katika Mungu wako hata Yale magumu VP utayashinda,na utaiona mbingu na Neema ya ahera siku ikikwisha,..kwa iyo kwa Mungu yaan hata mchanga kwa njinsi ulivo wewe ni mdogo hata kusema neno kumuliza uwez,lakin wew pia ni mkubwa kuliko yote ya hapana dunia na unaurithi wa mbingu,..so don't question something you don't know,
Hujalielewa tu swali langi lakini lina msingi mkubwa sana na linakupeleka kwenye majibu...Mkuu eiyer nadhani ungejaribu kurudia kuusoma uzi kwanza manake hapo umeuliza swali badala ya kujibu swali husika :hebu tujaribu kwenda sambamba na maswali tunayoulizwa YANGU HAYO 2
i question something that i know...biblia inajipinga kwenye hizo verses,..usiamini vitu blindly black man
Hakuna aliyeumbwa kwanza wala mwisho, hiyo ya uumbaji ni hadithi tu, mbona wanyama na binadamu walikuwepo mamilioni ya miaka kabla ya stori hii ya juzi juzi tu. Binadamu baada ya kuwa na akili na uelewa wameendelea kuitafuta asili yao bila mafanikionani aliumbwa kwanza?adam au eva?
imani yako ni ya kwenye biblia,either mkristo au myahudi