Bibi wa Kipemba

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
566
97
Bibi wa kipemba alitoa ushahuda kwa muandishi wa habari juu ya ajali ya gari iliyokuwa iktoka Dar kwenda Moro.
Akaulizwa anakumbuka ilikuwaje?
Akasema: "ama bwan muandishi mie nikumbukalo ni kuwa twengia garini njini ikaanza kwenda dereva akawa awana na pigi kulilegalega ela helin'goa,
(anamaanisha giya) hata tulipofika Chalinze hatizama nje haona miti ya Daresalamb yenda Mrogoro na ya Mrogoro yenda Daresalama.
Ama hapo sejua kama ni nti wetoka ukaipiga gari au n gari iliyopiga nti mie neshtukia ni spitali tu".
Nusra mwandishi acheke ila aliweza kujizuia.
 

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,596
1,808
hii ni kweli au??? Watu bado tuna maombolezo ya meli....
Haaaa haaaa bibi alishazoea boti
 

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,360
1,780
Hii kongwe. Sio mpya. Lakini inalipa bado. Copy and paste.
 

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
566
97
Hii kongwe. Sio mpya. Lakini inalipa bado. Copy and paste.

kwa ushahidi gani kama ni copy nd pest.
ww unakijua kila kilichokua posted humu?
kama hukijuwi, basi na ww upo uwezekano wa kuja na kitu ambacho kwa humu kilishawekwa awali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom