Bibi wa gesi aliishia wapi jamani?

Uchumi hana nafasi na vigagula.
 
Huyu bibi alikuja kwa mkwara sana ila hawezi kumfikia babu wa loliondo
 
ni nani huyu bibi ?

Bibi Somoe Issa Mtiti ambaye anatambulishwa kuwa ni mkuu wa kaya ya Msimbati mkoani Mtwara. Alikuwa msitari wa mbele kupigania gesi isitoke mikoa ya kusini. Aliionya serikali kuwa endapo italazimisha kusafirisha gesi kutoka Mtwara bila maridhiano na wananchi, ingelifika Dar es Salaam ikiwa maji.


 
Itakuwa anakula maisha Dar kama Stev kulialia/Yanga now Azam kwa mkopo.
 
Huyo atakuwa keshapewa kitalu chake kapumzika kwa amani milele,
 
mkuu hyo bibi ni tajiri huwezi amini na ulizi kwake ni 24/7.

Akilindwa kihivyo hata maisha yanakosa maana, kuna wakati binadamu huwa anahitaji uhuru na kuwa pekeyake bila jicho la kumchunga hata kama inamaanisha usalama wake
 
kama alikitetea imekuaje akabadilika?? au unataka tumkumbuke kwa kupata chake na kukakuka?

Mambo ya nchi hii ni mengi sana Janjaweed ! Bibi katumia ule usemi usemao if you can't fight them join them.....then it is a battle within
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…