Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Ukiyasikia maneno anayoyasema huyu bibi yake na Soka ambaye alimlea tangu mdogo hadi anakuwa inaumiza sana.
Soka amepotea imepita mwaka na miezi 2 ambapo alitekwa Agosti 18, 2024 familia yake haifahamu wapi amepelekwa mtoto wao. Nyie watekaji mliomteka Soka kumbukeni dunia ni duara ipo siku yenu itafika na mtalipa machozi na majozi ya hizi familia zote mlizopeleka misiba na maumivu makali sana.
==================
Poleni sana Familia na ukoo wa Deo Soka maumivu yenu yatalipwa tu na hawa wapuuzi na wajinga! watekaji
Nimemlea Deo Soka tangu akiwa na miaka mitatu mpaka akamaliza na shule na wakati amemaliza shule akaenda huko Dar Bibi wa Soka
Sikuchoka kulia Soka alikuwa ni mdogo wetu ndio kaka yetu ndio msaada kwetu, hatuchoki kulia nikiingia kwenye mtandao nabaki kulia tu Aunt wa Soka