melisafilbert
Member
- Sep 3, 2013
- 67
- 9
Mungu ni mweza wa Yote....!
Ampeleke kwenye maombi amponye mtoto!!
Akiendelea kukaa na huyo mtoto hapo nyumbani anaweza ampoteze mtoto.... ampeleke kwenye Maombi faster...
nampa pole kwanza! lakini jamani naomba ufafanuzi wa maombi mnayotaka akfanyiwe, ni maombi yepi na wapi?
nampa pole kwanza! lakini jamani naomba ufafanuzi wa maombi mnayotaka akfanyiwe, ni maombi yepi na wapi?
hapo kaka mkubwa umekuwa muwazi safi, nimeuliza maana kila mtu anakimbilia maombi maana mengine madudu tu...kabanga binafsi mimi ni mtu mbishi Tomaso alisingiziwa tu but naadmire kuna watu wene karama ya Mungu...kama victim yupo Dar anaweza kumpeleka mtoto Boko Basihaya afate kibao kinachoelekeza John Baptist Girls Sec School mita km 60 utaona kamtaa kameingia kushoto named Chagga Street-Ulizia kwa Babu anayeombea! He is Rt. Canal or Brigedia ila ana karama...try utarudi hapa kusema mwenyewe! Hatakulazimisha kuokoka,wala kukupa kikombe!