Bibi miaka 65 katika Ubora wake

Proof please! Kama ni kweli basi ni mlo wake umetulia!
 
Hiyo itakuwa njemba ndani ya transvestite.
 
Weka no.yake ya simu tumpongeze
 
Ni mpaka uwe na maisha bora ndo unaweza kuonekana hivi ukiwa na miaka 65
 
Kuna hatua aliziruka wakati wa ujana wake sasa zinamlazimu azirudie
Huyu bidada kaishi maisha yake sawasawa hajavuka step hata moja kwa muonekano huu akiwa na 60. kuna watu wana nusu ya umri wake wamekongoroka vibaya. Nimejifunza kitu kutoka kwake.
 
Reactions: iw8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…