lara 1 JF-Expert Member Joined Jun 10, 2012 Posts 15,700 Reaction score 29,223 Jul 29, 2014 #41 asakuta same said: hapana sidhani kama kwa payroll tu hapa bongo inaweza kumtoa mtu kwenye average joe , labda kama haina maana sawa na ninayoijua.......... kwasababu hapa tunazungumzia in terms of income soma hii hapa chini japo ni ya huko USA. Click to expand... Hahaaaa! Sasa mtu analipwa $5000 hawezi kuwa average Joe kibongo bongo! Wale sie kina 500$ ndo ishu!
asakuta same said: hapana sidhani kama kwa payroll tu hapa bongo inaweza kumtoa mtu kwenye average joe , labda kama haina maana sawa na ninayoijua.......... kwasababu hapa tunazungumzia in terms of income soma hii hapa chini japo ni ya huko USA. Click to expand... Hahaaaa! Sasa mtu analipwa $5000 hawezi kuwa average Joe kibongo bongo! Wale sie kina 500$ ndo ishu!
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,041 Jul 29, 2014 Thread starter #42 tumboo said: Kidogo sio sanaa Click to expand... penda sana mimi female wa hivi............
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Jul 29, 2014 #43 Nimependa pozi la mpiga picha
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,073 Jul 29, 2014 #44 zaaaliii la mentali limetokea wakati mimi nna njaaaaaaa nikapendwa na man mkaliiiii nakuacha watu woteee wakinishangaaa ktk...........
zaaaliii la mentali limetokea wakati mimi nna njaaaaaaa nikapendwa na man mkaliiiii nakuacha watu woteee wakinishangaaa ktk...........
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Jul 29, 2014 #45 Safi sana Ni siku yake alikuwa na haki ya kuenjoy
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Jul 29, 2014 #46 Wakwe ndo waliomuoa? Kucheza kumpunguzie furaha kweli? asakuta same said: ni kweli mkuu , lakini kama wakwe wapo ukumbini utakuwa unajipunguzia asilimia fulani za furaha kwenye ndoa yako. Click to expand...
Wakwe ndo waliomuoa? Kucheza kumpunguzie furaha kweli? asakuta same said: ni kweli mkuu , lakini kama wakwe wapo ukumbini utakuwa unajipunguzia asilimia fulani za furaha kwenye ndoa yako. Click to expand...
Enzymes JF-Expert Member Joined Feb 14, 2013 Posts 4,332 Reaction score 3,022 Jul 29, 2014 #47 Huyu atakuwa MKONGO
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Jul 29, 2014 #48 huyu alikunywa champagne nyingi...mbona anaserebuka kama yupo club ha ha ha
seandon Member Joined Feb 17, 2013 Posts 70 Reaction score 30 Jul 29, 2014 #49 hyo harusi au sendoff?duuuuh
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,041 Jul 29, 2014 Thread starter #50 BADILI TABIA said: Wakwe ndo waliomuoa? Kucheza kumpunguzie furaha kweli? Click to expand... hawajamuoa , ila ni sehemu ya maisha yake na wanapaswa kuheshimiwa........
BADILI TABIA said: Wakwe ndo waliomuoa? Kucheza kumpunguzie furaha kweli? Click to expand... hawajamuoa , ila ni sehemu ya maisha yake na wanapaswa kuheshimiwa........