asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
kulikuwa hamna wakwe nini?
Interesting...!
Bora amekuwa mkweli kwa kuonesha live kuliko wale wanaoficha ficha halafu wanakuja kuruka ukuta baada ya kuolewa..
Ndoa na iheshimiwe na kila mtu!
It is supposed to be a one-off event in ones life time. Enjoy to the maximum!
unaweza kukuta labda alitupia na cha Arusha juu kabla ya kuingia ukumbini.......
Hihiiiii! WANAUME BWANAA HUSUSANI KINA AVERAGE JOE KWA KUSAFIRIA NYOTA YA KINA RICH LENISTER HAMJAMBOOOO.!!
Hihiiiii! WANAUME BWANAA HUSUSANI KINA AVERAGE JOE KWA KUSAFIRIA NYOTA YA KINA RICH LENISTER HAMJAMBOOOO.!!
Kweli kuna wanaume wanapiganiwa ILA SI WOTE JAMNIII 1 IN 10, WENGINE MNAHANGAIKA KUOMBA CHIU MASAA 24 MPAKA HELA MNATOA AU SIZITAKI MBICHI HIZI MNAKILA CHIU CHINA YA VIWANGO VYA FIFA HAHAHAAAAAAA! ILA HUMU MMU KILA MWANAUME RICH LENISTER ANAPIGANIWA! Mmmmmmh! HAHAHAAAAAA,
UMENIIITA MWENYEWE! Basi ngoja niishie hapo kwa leo! WE UNARUM 1, CHOO UNASHEA AKUGOMBEE NANI? Azimiw nani? Ukimwambia mtu twende kwenu nikatoe posa! WAMESAFIRI UKOO MZIMA! Hihihiiiii
IM OUT OF HERE!!!

Sio cha arusha tu ukute alikuwa anatafta ndoa kwa udi na uvumba unafikiri kuolewa mchezo watu wanazitafta hadi kwa machozi
Wewe yule SI AVERAGE JOE, PAYROLL YAKE YA TIGO ILIKIWA IKO VIZURI!Ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!!
angalia bana usije ukawa unawaumiza watu humu..........
wewe hujaona Muheshimiwa alikuwa anapigania kuolewa na average JOE.........
usifanye mchezo na mwanamke anayeihitaji NDOA , anakwenda extra miles.
EID mubarrak......
asakuta same hebu acha ligi leo sikukuu bana .
heheee ndoa si mchezo...wanapagawa...usikute alishakataga tamaa...
Wewe yule SI AVERAGE JOE, PAYROLL YAKE YA TIGO ILIKIWA IKO VIZURI!
Ingekuwa wanawake wanahitaji ndoa kiukweli BIASHARA YA PAPUCHI ISINGEKIWEPO NA HIGHEST BIDDER WASINGWKUWEPO NA WANANDOA WASINGECHEPUKAAAA!
Hii inadhibitisha BINADAMU HATOISHI KWA MKATE TUUUUU! Hahahaaaaaa!
Ndo maana unaweza. KUOA NA HIGHEST BIDDER WAKAJA KUKUCHAPIA HUMO HUMO NDANI! Heshima pesa Ndoa karatasi la kuweka kabatink! NO OFFENSE INTENDED!
Ila ndoa za kina RICH LENISTER KWELI ZINA SOKO, AND ARE TO DIE FOR, ILA KINA FREE P HAHAHAAAAA ZINA WATU WAKE!