Biashara ni Kauli,
Mtu asokua na kauli njema na uvumilivu kwa wateja hafai.
MF: Kuna wateja wale wa kuulizia ajue bei, kisha akipata ela ndo aende dukan akanunue.
Sasa akija kwako, utajikuta anaulizia karibu kila kitu afu hanunui.
Bila uvumilivu wa nafsi na kujibu kwa kauli nzur Unaweza jikuta umetamka neno Baya.
Kisha ukapoteza Wateja Namna hiyo.