biashara zenye faida

biashara zenye faida

ndugu zangu mwenye idea za biashara za mtaji mdogo na zina faida
Bwana Mgani kama utapata Muda tuliza akili pita kwenye hii thread hapa chini

 
ndugu zangu mwenye idea za biashara za mtaji mdogo na zina faida
I wish ungetaja na kiasi halisi cha huo mtaji! Maana watu wanaweza wakakushauri biashara ya mtaji wa laki 2, kumbe mfukoni una milioni 2!
 
Kama uko vizuri tafuta frame katikati ya mji, uza handbags...!!
 
Biashara zote zinafaida ila sio faida tu na hasara pia.

Vitu vya kuzingatia ni:-
Nia
Ujuzi wa biashara
Eneo la biashara
Mtaji
Ubunifu
Uvumilivu
Nidhamu & Bidii
Connection
 
Back
Top Bottom