crazy_hubbie_stylish
Member
- Feb 7, 2022
- 7
- 8
Kama unahitaji Hawa went magroup ya kuagiza, naweza kukusaidia.Samahanini jaman naomb mnisaidie connection za kuwapata supplier waaminifu kutok china ambao naweza watumia kuagiza vitu mbalimbali maaan weng ni matapeli na nishapiteza zaid ya m1 ila sichoki kujaribu naomb km kun mtu mwenye uelewa hasa hawa wanao miliki magrup ya agiza china na ........... Msaada wa masupplier au connection zakupat vitu kutok china
Naelew ila ningepat supplier anaowatumia yeye ili niwe naagiza navo vitaka mm kwasabab kwwny magrup meng mnawekew limit kuwa wote muagiz bidhaa aina mojaKama unahitaji Hawa went magroup ya kuagiza, naweza kukusaidia.
Kuna dada mmoja yupo Ubungo Maziwa anaagiza.
Ila mizigo ya aina hi Kuna kusubiri sana, mpaka miezi mitatu.
Unaweza kutumia Alibaba kununua Ila ina tegemea na bidhaa.Samahanini jaman naomb mnisaidie connection za kuwapata supplier waaminifu kutok china ambao naweza watumia kuagiza vitu mbalimbali maaan weng ni matapeli na nishapiteza zaid ya m1 ila sichoki kujaribu naomb km kun mtu mwenye uelewa hasa hawa wanao miliki magrup ya agiza china na....
Msaada wa masupplier au connection zakupat vitu kutok China
Mpak nimekuj kuomb msaada uku ujue mtandaoni nimeshatafut saaaaaaaaaaaaanUna simu tumia muda wa wikiendi kusoma mitandaoni namna ya kuagiza na website vipi utaagiza. Namna ya kutambua scam za mtandaoni. Lini au muda wa kupata mzigo. Njia za kufanya malipo.
Tumepewa akili
Nimejarb kuku pm ila txt haziji mbona kila nikijarb wanaziblock nipe contact Whatsapp zakNi pm tuyajenge mm kuna mtu huwa na mtumia mara nyingi na sijawahi pata changa motto
Sema unataka bidhaa za aina gani na supplier wa bidhaa gani nitakusaidia hapa hapa hatua na kukupa ma supplier na namna ya kuepuka utapeli. Sitakuomba hata [emoji817] uwe na amani[emoji856][emoji1]Nimejarb kuku pm ila txt haziji mbona kila nikijarb wanaziblock nipe contact Whatsapp zak
Tumia watu wenye ofisi hapa hapa bongo mbna wako wengi maana hata ukifanya any touches feedback unapata hapo hapoViatu vya kiume na vyakike,pochi za kike na electronics devices kama cm na earpod,
Ndo ungekuw unawataja boss hao wengi maan wengn hatuwajuiTumia watu wenye ofisi hapa hapa bongo mbna wako wengi maana hata ukifanya any touches feedback unapata hapo hapo
Samahanini jaman naomb mnisaidie connection za kuwapata supplier waaminifu kutok china ambao naweza watumia kuagiza vitu mbalimbali maaan weng ni matapeli na nishapiteza zaid ya m1 ila sichoki kujaribu naomb km kun mtu mwenye uelewa hasa hawa wanao miliki magrup ya agiza china na....
Msaada wa masupplier au connection zakupat vitu kutok China
Mostly me huwa namtumia jamaa anaitwa titho maana ofisi zao ziko magomeji kagera paleNdo ungekuw unawataja boss hao wengi maan wengn hatuwajui