Biashara ya Website Hosting

mickey.T

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
482
83
Kwa wale wanaohitaji kujiingiza katika biashara hii, natoa ushauri bure kabisa, mtaji wake ni mdogo sana ila marejesho ni makubwa.
Kwa kuanzia Laki 400 tu kwa mwaka, unaweza kuanzisha biashara hii, si lazima uwe na utaalamu wa hali ya juu
 
'biashara hii' ndiyo biashara ya aina gani? Elezea biashara aina hii mtaji wake kama ulivyosema 4k na maelezo yake then ndiyo tutake ushauri
 
Back
Top Bottom