mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Inashangaza kuona Serikali inalalamika Juu ya uharibifu wa miundo mbinu ya madaraja n.k.unaofanywa Na baadhi ya wananchi.Uharibifu huo umeshamiri baada ya Serikali kuruhusu biashara ya Vyuma Chakavu.Tunaishauri Serikali ipige Marufuku biashara ya vyuma chakavu ili kunusuru miundo mbinu Yetu.