Afroimage investment New Member Joined Feb 10, 2021 Posts 2 Reaction score 0 Mar 5, 2021 #1 Habari kwa mwenye uelewa wa biashara ya viungo vya chai na chakula nahitaji mtaalamu aliepo moshi mjini mini nina mtaji wa pesa ila nahitaji mtaalamu anaejua kutengeneza viungo mbalimbali ili tufanye kazi.
Habari kwa mwenye uelewa wa biashara ya viungo vya chai na chakula nahitaji mtaalamu aliepo moshi mjini mini nina mtaji wa pesa ila nahitaji mtaalamu anaejua kutengeneza viungo mbalimbali ili tufanye kazi.
spray JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 277 Reaction score 241 Mar 7, 2021 #2 Check na SIDO watakusaidia