Naomba ushauri kuhusu biashara ya vitenge hususan vya Congo

edwin4

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
287
216
Ndugu wana board

Mimi ni Mwalimu lakini mbali ya ualimu pia nafanya biashara ndogondogo na hasahasa kuuza vitu vya kike, kiukweli hela ninayo lipwa kwa mwezi, huku biasharani naipata baada ya two weeks na hiyo ni faida bila kujumlishia na hela ya mtaji.

Sasa wateja wangu wamekua wakihitaji vitenge vya Congo kwa muda mrefu sasa. Ninacho waomba ndugu zangu ni ushauri wa kimawazo kwa wajuzi wa hizi shughuli;-

1. Kwa wanaofuata mzigo Congo, bei ya jumla huko ikoje?
2. Je, naweza kuchukulia mzigo hapahapa Bongo? Chimbo liko wapi na bei zao za jumla zikoje?

Pia nakaribisha yeyote mwenye ushauri juu ya biashara ya vitenge bila kujalisha ni vya Congo, Burundi etc.

Karibuni kwa ushauri wataalamu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitenge vya Kkoo vipo tofauti na vitenge vya Congo ukitaka kuvipata bila kusafiri watumie madereva wa bus za kampuni ya Taqwa zinazoenda Kongo nenda Kkoo mtaa Lindi nadhani kama sijakosea ndipo bus zao zinapofikia ongea na wale wanaopakia mizigo watakuunganisha na kondacta au Dereva wa bus za Kongo ili awe anakuletea mnaweza kukubaliana analeta ili akuuzie haumpi pesa ila atakuuzia kwa bei ya jumla..ukivifata kodi yake ni kubwa hapo Tunduma utaviacha tumia hao wanakuja navyo vichache vichache na wanavijua vizuri na matoleo mapya...
 
mimi niliwah kwenda kigoma nikachagua vitenge vi5...nikaja navyo..nikavikuta kkoo kwa bei ile ile...nikachoka..thts y watu wa mikoan wanapiga kumbe mtu anaenda chukulia dar tu hapo ...na mm niliambia ukitaka agiza kwa hayo magari...ila ss tatizo linakuja wanaume weng hawajui kuangalia maua mazuri..analeta mavitenge yanan'gaa km wanavyovaa wasukuma wa chita na ifakara😊
 
Mkuu Kkoo pia vinakuepo watu wanaenda kutoa copy yake China ila vya Congo vipo tofauti na vya kufyatuliwa hata Mimi nilikua naona vipo sawa mpaka nilipooneshwa utofauti wake kwa ubora na uzito na jinsi vinavyopoteza rangi(kuchuja) haraka tofauti na vya Congo...Mimi nimevijua hivyo vitenge nilipokua napanda bus za Taqwa kutokea Lusaka kuja Tanzania nimenunua sana vya zawadi vipo tofauti kabisa,
 
Duuh
 
ohh sawa sawa...
 
tatizo vitenge vya congo mpaka vikufikie uje uuze faida ni ndogo sana
nunua java k.kooo kwa 19-20 uza 25 au kopesha kwa 30
kwa vinavutia watu wrngi wanavipenda
vya congo vizito ila havivutii
 
hahahahahahaaaaa!
mimi niliwah kwenda kigoma nikachagua vitenge vi5...nikaja navyo..nikavikuta kkoo kwa bei ile ile...nikachoka..thts y watu wa mikoan wanapiga kumbe mtu anaenda chukulia dar tu hapo ...na mm niliambia ukitaka agiza kwa hayo magari...ila ss tatizo linakuja wanaume weng hawajui kuangalia maua mazuri..analeta mavitenge yanan'gaa km wanavyovaa wasukuma wa chita na ifakara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom