ingawa unaweza kuanza mdogo mdogo kwa hiyo hela ila kwenye vitenge kwa jumla bado mzigo utaona mdogo vitenge vinataka mtaji mkubwa maana sasa hivi bei yake ni kubwa kidogo sio kama miaka 10 iliyopita
bei nani wakununua kilenga cha laki 1 hadi 2 nawakati kuna vya China elf 25 cotton jumla 23 kkoo ambavyo vizuri na havichuji ingawa sio material quality kama cha congo