Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,469
Soko lipo vizuri, kama unavyoona watu kila siku wanazidi kupenda chips na matumizi ya viazi yanaongezeka cha muhimu ni uchaguzi mzuri wa viaz kule shamban, hakikisha unachagua kiaz kizuri na kiwe kikubwa soko zuri ni buguruni na mabibo ilala siyo wazuri sana
Kuhusu usafiri kama unachukua mzigo njombe kulee kuna shida kidogo ya usafiri lakini tofauti na mbeya usafiri hausumbui sana maana semi tyler nyinyi zinatoka zambia kuja dar zingine zinakuwa tupu soo deal kaa izo hawawez kuacha
Mbeyaa ni vyema zaidi lakini vina msimu wake njombe ni kuanzia june adi december vinakuwa vimeishaa apo vinaanza mbeyaa kuanzia november adi may
huyu chris ametoa maelezo yenye msaada sana
Mkuu ni PM au nipigie kwnye 0753543236 tufanye hiyo biashara.asante sana mkuu, nimekuelewa vyema ngoja nijikisanye ili niongeze mtaji japo nianze mdogo mdogo.
vp wapi ni bora zaidi kati ya mbeya na njombe kwa ubora wa viazi, bei na accessibility ya usafiri
Hii ndiyo michango yenye tija!!!Mimi nimefanya hii biashara, naijua vizur sana ni biashara nzuri sana, nilisimama kwa muda kutokana na kubanwa na masomo nategemea kurudi kwenye hii biashara mwezi wa kumi mwaka huu, kwa laki 8 kweli ni ndogo mkuu atleast uwe na kama 3milion ndoo utaona faida ya hii biashara
Kwani gari ya chini huwa n fuso yenye uwezo wa kubeba magunia 75 kujaza mzigo siyo pungufu ya 2.4m ni bora ufanye ivo kuchukua gari yako kuliko kushare maana itakugharimu sana kwenye usafirishaji
Nakaribisha tuungane mkuu kama kuna swali waitaji kujua waweza kuuliza apa apa ntakujibi
Mkuu ni PM au nipigie kwnye 0753543236 tufanye hiyo biashara.
Mkuu ni PM au nipigie kwnye 0753543236 tufanye hiyo biashara.
Hii ndiyo michango yenye tija!!!
Mimi nimefanya hii biashara, naijua vizur sana ni biashara nzuri sana, nilisimama kwa muda kutokana na kubanwa na masomo nategemea kurudi kwenye hii biashara mwezi wa kumi mwaka huu, kwa laki 8 kweli ni ndogo mkuu atleast uwe na kama 3milion ndoo utaona faida ya hii biashara
Kwani gari ya chini huwa n fuso yenye uwezo wa kubeba magunia 75 kujaza mzigo siyo pungufu ya 2.4m ni bora ufanye ivo kuchukua gari yako kuliko kushare maana itakugharimu sana kwenye usafirishaji
Nakaribisha tuungane mkuu kama kuna swali waitaji kujua waweza kuuliza apa apa ntakujibi
Bado unafanya hii biashara mkuuMimi nimefanya hii biashara, naijua vizur sana ni biashara nzuri sana, nilisimama kwa muda kutokana na kubanwa na masomo nategemea kurudi kwenye hii biashara mwezi wa kumi mwaka huu, kwa laki 8 kweli ni ndogo mkuu atleast uwe na kama 3milion ndoo utaona faida ya hii biashara
Kwani gari ya chini huwa n fuso yenye uwezo wa kubeba magunia 75 kujaza mzigo siyo pungufu ya 2.4m ni bora ufanye ivo kuchukua gari yako kuliko kushare maana itakugharimu sana kwenye usafirishaji
Nakaribisha tuungane mkuu kama kuna swali waitaji kujua waweza kuuliza apa apa ntakujibi
Mkuu bado unafanya hii biasharaKwa wanaohitaji mashine za kumenyea viazi inapatikana sasa jijini dar kwa bei nafuu ya milioni 5.5 mashine uwezo wake ni kilo 300 kwa lisaa, usichelew zipo chache saana, na hazili nyama, zinatoa ganda tuu. Wapige kwa mhusika 075282714
Asante mkuuMimi nimefanya hii biashara, naijua vizur sana ni biashara nzuri sana, nilisimama kwa muda kutokana na kubanwa na masomo nategemea kurudi kwenye hii biashara mwezi wa kumi mwaka huu, kwa laki 8 kweli ni ndogo mkuu atleast uwe na kama 3milion ndoo utaona faida ya hii biashara
Kwani gari ya chini huwa n fuso yenye uwezo wa kubeba magunia 75 kujaza mzigo siyo pungufu ya 2.4m ni bora ufanye ivo kuchukua gari yako kuliko kushare maana itakugharimu sana kwenye usafirishaji
Nakaribisha tuungane mkuu kama kuna swali waitaji kujua waweza kuuliza apa apa ntakujibi
Na mimi naomba nikuone wwBro! Naweza kuonana nawe ili tuongee zaidi! Pls ni PM. Nimekuwa natafuta data za hii biashara na nijue mahala pa kuanzia!
Sorry...hivi hapo mbeya mnalima viazi wilaya gani hasa?mm ni mkulima wa viaz huku mbeya kwa hyo lak 8 ni ndogo sana mkuu..embu fiki gunia la kiaz unanua kwa mkulima elf 50..gar inapakia gunia 100 kwa hyo hapo kwa hyo hela unanua gunia kama 16 hv..bado ujatoa hela ya kushonea..advance ya mwenye gar...karibu mkuu mbeya tunalima sana kiaz
haswaaa kwa namna hii tuna enjoy maana halisi ya jf
Wilaya ya Tukuyu..sehemu Kama kikondo..swaya..na wilaya ya mbeya kijijin maeneo umalila..Sorry...hivi hapo mbeya mnalima viazi wilaya gani hasa?