MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,454
Umejuaje?Huwezi kuamini lakini ukweli utatuweka huru. Jumuiya ya afrika mashariki inajua. Jumiya ya kusini mwa Afrika sadc wanatambua.
Asilimia kubwa ya watu wanaouzwa ni watu kutoka somalia na mataifa mengine machache mfano watusi na wahutu.
Kwa sasa msomali popote alipo anasakwa ni bidhaa. Maaskari wetu wa ulinzi wanajua wanavyopiga pesa kupitia wasomali wanaopita njia za panya kuelekea afrika ya kusini ili kwenda ulaya kuishi.
Ukiwakuta wasomali wamefichama porini hata watatu basi hukosi pesa kuanzia milioni kupitia watu hao ili wasonge mbele na safari. Mchezo huu wanaujua wengi.
Biashara ya kuuza watu afrika sasa imeshamiri kwa mfumo mwingine.
Wanasafirishwa kama bidhaa toka Kenya, arusha mpaka Mbeya kwa kupangwa kama magunia ktk fuso huku gari hizo zikiwa na pass ya usafirishaji wa magodoro na mbinu nyinginezo.
Wanaojua biashara hii inavyofanyika ongezeeni nyama maana wanakufa sana wawapo safarini.
Tuwe na huruma hakuna anayependa kukosa amani.
Mhuuu, hatari hadi usalama wa taifa.USALAMA WA TAIFA wanalijua hili na wao ndiyo maagent wakuu wa upitishaji na usafirishaji wa wasomali.
Ni biashara kwa sababu ikitokea mtu unayetaka umpe hao watu akawa na dau dogo unatafuta mwingine wa dau kubwa. Sasa hadi hapo siyo biashara bado ni rushwa mkuu.Huku ni kuuza au rushwa ?
Nimejua kwa kuwa mimi ni mwanajamii nipo ktk jamii kwanini nisijue. Bahati nzuri miji yote mikubwa arusha, dar, Mbeya ni mwenyeji.Umejuaje?
Hawauzi watu bali wanatoa Huduma haramu na kutoa rushwa. Si kufanya biashara ya kuuza binadamu bali kusafirisha binadamu.Ni biashara kwa sababu ikitokea mtu unayetaka umpe hao watu akawa na dau dogo unatafuta mwingine wa dau kubwa. Sasa hadi hapo siyo biashara bado ni rushwa mkuu.
Wengine wana kufa wakiwa safarini. Hizo fuso zikitokea arusha zikiwatua Mbeya yale magodoro huuzwa bei ya kutupwa mno.
Nashukuru kwa ufafanuzi but are related to slave Trade.Hawauzi watu bali wanatoa Huduma haramu na kutoa rushwa. Si kufanya biashara ya kuuza binadamu bali kusafirisha binadamu.
Huko Libya wanauzwa, hasa ambao wamekosa pesa ya kuwalipa wasafirishaji wa binadamu kwenda nchi za Ulaya.Hawauzi watu bali wanatoa Huduma haramu na kutoa rushwa. Si kufanya biashara ya kuuza binadamu bali kusafirisha binadamu.
Hivi unajua maana ya slave trade? Ukisema mabinti wanaopelekwa uarabuni ni slave trade naweza kukubali ila hii ya kuzamia, nasema big no! Kwa vile anayetoa hela ni mzamiaji (mhabeshi, msomali n.k.). Utumwa mtu anauzwa kama unavyouza ng'ombe kwa ajili ya kwenda kwa mnunuaji akamfanyie kazi kwa malipo kiduchu au bure.Nashukuru kwa ufafanuzi but are related to slave Trade.
Hapo si utumwa bali ni njia ya kulipa deni. Ni sawa na mtu unamdai anasema sina hela, unaamua kumpa kipande cha kulima ili akikimaliza na deni linaisha. Hiyo si utumwa, je, unataka ule cha mtu bila kulipa? Ni sawa na msichana unamtumia nauli akija unamgegeda. Akikwambia natumia unasema rejesha fedha zanguHuko Libya wanauzwa, hasa ambao wamekosa pesa ya kuwalipa wasafirishaji wa binadamu kwenda nchi za Ulaya.
Hivi unajua maana ya utumwa mkuu?Hapo si utumwa bali ni njia ya kulipa deni. Ni sawa na mtu unamdai anasema sina hela, unaamua kumpa kipande cha kulima ili akikimaliza na deni linaisha. Hiyo si utumwa, je, unataka ule cha mtu bila kulipa? Ni sawa na msichana unamtumia nauli akija unamgegeda. Akikwambia natumia unasema rejesha fedha zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo si utumwa bali ni njia ya kulipa deni. Ni sawa na mtu unamdai anasema sina hela, unaamua kumpa kipande cha kulima ili akikimaliza na deni linaisha. Hiyo si utumwa, je, unataka ule cha mtu bila kulipa? Ni sawa na msichana unamtumia nauli akija unamgegeda. Akikwambia natumia unasema rejesha fedha zangu
Umenena weweHivi unajua maana ya utumwa mkuu?
Soma hata utumwa wa zamani baadhi ya watu walijikuta ni watumwa kwasababu ya madeni, walishindwa kulipa wakauzwa kwenye utumwa.
Kajihabarishe zaidi kuhusu maana ya utumwa inaelekea unavyofikiri ndivyo sivyo
Kwa hiyo kila anayeishi majiji hayo anajua? Au kuna kitu cha ziada hapo?Nimejua kwa kuwa mimi ni mwanajamii nipo ktk jamii kwanini nisijue. Bahati nzuri miji yote mikubwa arusha, dar, Mbeya ni mwenyeji.