Biashara ya Ukahaba: Serikali inapoteza Mapato mengi

mi nafikiri hata na bangi ingehalalishwa kwasababu sigara inayoua zaidi ni halali...kilimo cha bangi kingesaidia japo kidogo kuongeza ajira na mapato kwa vijana maana ile nasikia ni sehemu chache sana inakataa kuota.
 

kama una dada zako uliozaliwa nao tumbo moja,i mean blood sisters,anza na wao,fanya majaribio kwao uone wataingiza kiasi gani hadi mwisho wa mwaka huu ili uweze kuja na takwimu sahihi ya mapato ili na mimi nitumie nafasi yangu kuishauri serikali kukubaliana na wazo lako.


nb:njoo na data kamili mkuu kutoka kwa dada zako
 
Kodi ya paye ni 30% kwahiyo ni 9000 kwa siku that means ni 270k per month ukizidisha mara 500 unapata 135 millions kwa mwezi;ukizidisha mara 12 unapata 1.62billions kwa mwaka. Unaweza ukaandika proposal serikalini kuchukua tenda ya kuwachaji makahaba kwa kuwalipa serikali 1b hiyo 620m unapiga wewe.
 
Kodi ya paye ni 30% kwahiyo ni 9000 kwa siku that means ni 270k per month ukizidisha mara 500 unapata 135 millions kwa mwezi;ukizidisha mara 12 unapata 1.62billions kwa mwaka. Unaweza ukaandika proposal serikalini kuchukua tenda ya kuwachaji makahaba kwa kuwalipa serikali 1b hiyo 620m unapiga wewe.
 
Mi nafikiria ukahaba uendelee na ukimwi ueendelee pia.Kutokana na ukosefu wa ajira vifo vya waathirika ni fursa za ajira kwa wengine.
 
Kozo Okamoto

Mkuu taratibu, huna haja ya kumshambulia mleta mada, ni wazo tu ametoa maana hiyo biashara ipo na inazidi kushamiri na kupata umaarufu. Hivi mkuu unajua kuna nchi makahaba wanalipa kodi?Kama sigara na pombe wanachukua kodi, kwa nini na huko wasichukue? Kama utasema maadili yatakiukwa kwa makahaba kulipa kodi, hata sigara na pombe bado ni chukizo tu.
 
Last edited by a moderator:
unaoneje wakiruhusu halafu dada zako na mabinti zako ndio wakawa wa kwanza kwenda kwenye biashara hiyo? utajisikiaje?
 

Hela hiyo inatosha kabisa kutoa elimu bure kwa elimu ua msingi, ngoja nitengeneze proposal
 
Kwa jinsi mifumo ya kodi ya nchi hii ilivyo ni vigumu sana kwa watunga sera kuuona upande huo japo nao ni wateja wazuri sana. Nijuavyo mimi hakuna mapato ya raia yeyote yasiyotozwa kodi. Ni kwanini tra wasiangalie kundi hilo wakali-mobilize pamoja na machinga wanaotembeza bidhaa mitaani ili watozwe kodi ya mapato? Au serikali imerithika kuwa ombaomba? Nchi ya ajabu sana hii isiyopenda pesa.
 
Dah hio hesabu.... Yaani eti mwanaume unapanga foleni unasubiria mwanaume mwenzio amalize kugegeda kisha nawewe ukaweke mgegedo wako,,,hii nimeishuhudia tandika kwa wahaya
 
Harali = Halali

Kuharalisha = Kuhalalisha
 
Mleta uzi inaonekana ni miongoni mwa hao wanaoipotezea serikali mapato kwa kutolipa kodi ya pampu,ila muache hiyo biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…