Kuna uongo mkubwa sana kwenye hizo biashara zikiambatana na mauzauza ya kila namna. Kuna jambo limefichwa kwenye hiyo biashara kwa ujumla sikushauri upoteze muda wala fedha huko.Habari wanajamvi!
Kuna mtu ameniomba nishirikiane naye kwenye biashara ya uwakala/udalali wa tunu za kale na kwa maelezo aliyonipa ni kwamba tunu hizo za kale ni mali zilizoachwa na wakoloni kama Wajerumani na Waingereza walioitawala Tanganyika.
Kuna maswali machache napenda kufahamu zaidi kuhusu hii biashara kutoka kwa mtu anayeifanya au ana uzoefu wowote kuhusiana na biashara hii kwenye maeneo yafuatayo.
1. Uhalali wa biashara
2. Soko lake
3. Risk zitokanazo na biashara hii
Nawasilisha
Asante sana kwa ushauriKuna uongo mkubwa sana kwenye hizo biashara zikiambatana na mauzauza ya kila namna. Kuna jambo limefichwa kwenye hiyo biashara kwa ujumla sikushauri upoteze muda wala fedha huko.
Kwahiyo wanunuzi wa hizi mali wao huzitumia kufanyia nini?Mi sipo bongo ivo sijui sheria zinazohusika na hili.Ila najua kuna pesa kwenye hii biasharana wabongo wengi bado hawajaichangamkia sababu masoko ya uhakika yapo nje ya nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ee sasa ukiwa mlokole si ndio inakupitia kushoto
Sasa Emu Nambie hasa, unataka kujua kuhusu nini hasa? Niko na uzoefu kidogo naweza kukusaidia.Asante sana kwa maelezo mazuri. Sababu ya kufikisha hapa ni kwamba nilitafta data hadi google kuhusiana na biashara hii nikakosa ndipo nikaamua kulileta JF ili kila mtu mwenye ufahamu anipe mwanga kidogo. Aliniambia tushirikiane naye kama partners kufanya hii biashara.
Mkuu funguka,Jambo gani hilo ambalo unasema limefichwa?Kuna uongo mkubwa sana kwenye hizo biashara zikiambatana na mauzauza ya kila namna. Kuna jambo limefichwa kwenye hiyo biashara kwa ujumla sikushauri upoteze muda wala fedha huko.
Sielewi mfumo mzima wa hii biashara.Sasa Emu Nambie hasa, unataka kujua kuhusu nini hasa? Niko na uzoefu kidogo naweza kukusaidia.
Kama hizo tunu zinakuwa zimehifadhiwa na watu wengine it means mimi nita act kama middle man ama vipiWatu wameskia tunu za kale mawazo yameenda kwenye kutafuta masanduku ya mali kubwa kubwa kama sarafu zilizoachwa n mkoloni pamoja ni vito vya thamani.
Kimsingi mbakosea tunu za kale ni pamoja na masalia au vitu vilivyo achwa na mkoloni mfano mtungi, sahani, chanuo , jambia au majembe yaliyotumiwa na mkoloni na vitu kama hivi vipi kuna watu wameviweka stoo tu hawavitumii so msikalili kua tunu za kale ni kama ile biashara ya watu wanaenda kwa waganga wanaelekezwa wakoloni walipofukia mali zao naona wengi wameegemea uko ambapo ni upotoshaji.
Mleta mada nakushauri uchuje mawazo unayopokea kwa kina na kama ukiamua kufanya biashara hii usiingie miguu yote miwili