M45
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 1,461
- 2,320
Habari.
Nataka kufanya biashara ya toyo yaani niwaajiri vijana kwa ajili ya kubeba abiria na Mizigo.
Sasa bei ya toyo mpya zikoje?
Bei ya Guta la kubeba Mizigo Zikoje?
Kwa wastani inatakiwa nipokee shilingi ngapi kwa kijana wa toyo au Guta.?
Je matengenezo madogo madogo ni nani hutakiwa kufanya ?
Naombeni Ushirikiano wenu
Asante!