CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 157
tunapita tu maana hatujui au unataka tuweke kijiwe hapa! Haya mcheki huyo mama hapo.WanaJF tunaangushana!<br />
Naona mnapita mnachungulia na kutambaa -
Jaribu Tarpo.....Arusha.....wana tents zenye quality nzuri
Nina jamaa yangu mmoja,kampuni yao ina matent ya Wageni, anaweza kukusaidia ukajua yy/wao wanapataje. Bosi wake ni kijana mzuri anaweza kukupa unafuu zaidi ktk kupata taarifa unazotaka. Na mimi pia kuna wakati niliyatumia. Yupo Dar, Mtwangie 0784726068, akikuuliza, mwambie Malila kanielekeza.
Kwani hiyo picha ya matent uliipata wapi ?