mudy92 JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 671 Reaction score 535 Mar 28, 2016 #1 wasalaaam! Ndugu zangu nilikuwa naomba wenye uelewa na Hii biashara ya kufuga Mbwa haswa German shepherd na Doberman kwa ajili ya SECURITY inaweza kulipa......
wasalaaam! Ndugu zangu nilikuwa naomba wenye uelewa na Hii biashara ya kufuga Mbwa haswa German shepherd na Doberman kwa ajili ya SECURITY inaweza kulipa......
Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 752 Reaction score 154 Mar 29, 2016 #2 inalila teeeena sana ila iko na changamoto zake