Unataka sauna ya aina gani? Ya umeme au ya kuni? Kiuas au kile kifaa cha kutengeneza joto ndo muhimu, bei zake inategemea.
Ukipata ya mchina inaweza ikawa bei rahisi ila siyo imara, kama uko serious, tafuta used kutoka Finland zinaitwa Kiuas (kwa Kifini) ingia www.tori.fi uangalie bei za used. Watu binafsi wanaziuza and I can promise you, they are original than the Chinese.