Haiwezekani miezi mitatu umeweka packing humu halafu wachangiaji watatu[emoji33]Huu mjadala wako naona umedoda kutokana na ugeni wako hapa Jf. Aidha, members humu yawezekana wameshaliwa sana ela huko crypto so wameona si vema kutonesha mshono[emoji24]
Cypto is awaiting game,km huna subira kila siku utakuta portfolio yako inashuka hapo ukiuza tu zinapata mpaka unashangaa,nunua coin wait for years kitu ambacho wengi hatuwezi