1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,166
- 14,305
tafuta bei ya vitu unavyofikiria kuweka katika salun yako bila kusahau ukubwa wa eneo na kitu unachokifikirialipo mwanza mkuu, shusha nondo basi,
Asante saaana mkuu ntalifanyia kaz hilo, ila ntakutafuta mkuuJina andika hili OLD TRAFFORD CLASSIC SALOON , Ila inabidi unilipe maana ni brand yangu hyo
Asante kwa ushauri mkuu na mawazo yako ntalifanyia kazSimple :-
Hayo tu, mengine wataleta wengine
- Bandika bei, na mteja always achajiwe na bei anayoiona, kusiwe na ubabaishaji kwenye hili
- Mteja mfalme, akaribishwe vizuri na kwa heshima, na ahudumie vyema
- Kusiwe kijiwe cha umbeya, zogo, makelele ya radio au TV
- Vyombo vya kunyoa au kuhudumia kichwa cha mteja viwe visafi na kusafishwa barabara
- Pawe pasafi na pa kuvutia
Mkuu kuhusu pango nimetengeneza banda la kisasa na ni kubwa, na kuhus TRA kuna baadhi ya watu wanasema ukiwa na biashara inayotumia kibanda eti hauka cha lesen au TRA kukuingilia japo hapo cna ufahamu zaid,mkuu hii biashara cha
1. kwanza kinyozi unaye?
hapa lazima umuibe kinyoz matata katika mitaa hiyo salon ilipo,, lengo ni kupata wateja wa uhakika,, yaan umuhamishe kutoka salon flani maharuhu ambayo inasumbua hapo, kinyozi mzoefu,
kinyozi asiyemzoefu atasababisha uione biashara ngumu
2. Umeme uwe na mita yako ya luku, hii itakusaidia kuondoa mabishano ya wewe na wenzako mnaochangia umeme,
3. Mashine ziwe original, sio zile za elfu 30, chukua zile za kuanzia 100000,
4. viti vya kisasa
5. pango sh? kwa mwaka?
6. Umeenda TRA? hao jamaa noma sana,
CHANGAMOTO KUBWA NI MAPATO
kama mapato yako chini ya elfu 50000 kwa wiki,, hapo hali tete,, inabidi vinyozi wawe wawili, ukiweka mmoja itakusumbua sana
Sio awamu hii lakini, sasa hivi serikali imeamka sana kukusanya kodi na ushuru mbalimbali sidhani kama biashara ya saluni iliyo makini kama kuna njia unaweza ukakwepa kukata leseni na kulipa kodi labda utumie mbinu ya kujifichaficha ambayo nayo siyo nzuri sana hutakuwa huru kutekeleza biashara yako.Mkuu kuhusu pango nimetengeneza banda la kisasa na ni kubwa, na kuhus TRA kuna baadhi ya watu wanasema ukiwa na biashara inayotumia kibanda eti hauka cha lesen au TRA kukuingilia japo hapo cna ufahamu zaid,
Huo ushauri waliokupa hauna tofauti na kujinunulia kiwanja bila kwenda Ardhi kupata uhakiki wa kiwanja..Yale yale mazoea yetu, baadaye tunasaga meno..Mkuu kuhusu pango nimetengeneza banda la kisasa na ni kubwa, na kuhus TRA kuna baadhi ya watu wanasema ukiwa na biashara inayotumia kibanda eti hauka cha lesen au TRA kukuingilia japo hapo cna ufahamu zaid,
sasa kama banda la kisasa watafika tu, jiandae tu hamna namna,, hii biashara nimedumu nayo 3 year, kwa sasa nimeachana nayo, baada ya kinyozi wangu kutofautia naye,,Mkuu kuhusu pango nimetengeneza banda la kisasa na ni kubwa, na kuhus TRA kuna baadhi ya watu wanasema ukiwa na biashara inayotumia kibanda eti hauka cha lesen au TRA kukuingilia japo hapo cna ufahamu zaid,
Poa karibu mkuuAsante saaana mkuu ntalifanyia kaz hilo, ila ntakutafuta mkuu
Biashara ya saluni ni ovyo sana yansasa kama banda la kisasa watafika tu, jiandae tu hamna namna,, hii biashara nimedumu nayo 3 year, kwa sasa nimeachana nayo, baada ya kinyozi wangu kutofautia naye,,
nkapata mwingine lakini akashindwa,,
sasa nimepaki bus,, yaani nimerudisha mpira kwa kipa,,
ila usijali we fungus upambane
mkuu, hii biashara faida haipandi iko costant,, ukimpandishia kipande kinyoz ananuna,, amesahau kuwa faida ndogo.Biashara ya saluni ni ovyo sana yan
Biashara yake kichaa sana yan..waliowin kwenye hii biashara wachache sana yan..nna experience nzuri sana adi nlijuta nliwekeza M 3 mwaka 2013 ila niliijutia ile ela kuliko kitu kingine chochote..kwanza anafungua ofisi mda anaotaka yy..akiamua anakuja akiamua haji..vinyozi washenzi sana..nlikuwa na drimz kubwa mno ktk hii biashara,, malengo yangu yalikuwa ku own 5 barber shop in town,
ila changamoto zikanichania drimz zangu,,
sasa nimechili kwanza naangalia fursa zingine,,
Anayefungua afungue tu,
Ndaaaah! Mwanipa muda mgum saana wakuuu kwa changamoto kaa hizo,Biashara yake kichaa sana yan..waliowin kwenye hii biashara wachache sana yan..nna experience nzuri sana adi nlijuta nliwekeza M 3 mwaka 2013 ila niliijutia ile ela kuliko kitu kingine chochote..kwanza anafungua ofisi mda anaotaka yy..akiamua anakuja akiamua haji..vinyozi washenzi sana..