Biashara ya rehamu(welding electrode)

Al-habiib

Senior Member
Joined
Jun 21, 2023
Posts
132
Reaction score
192
Habari wakuu.

Naomba kujua hizi rehamu /welding electrode (sticks za kuchomelea) zinazotoka China ambazo Ni E6013 2.5mm ,maarufu Kama gauge12 naweza zipata wapi kwa Bei ya jumla ambayo wanauziwa watu wa hardware.

Nahtaji kufanya supply sehemu Ila sjajua exactly Bei wanayouziwa wao Ila Bei zao wanazouza za jumla nishazfahamu.

Si hitaji hz za Tanzania .
Pia Kama Kuna ujanja ujanja (fake)kuhusiana na hzi electrode naomba kufahamishwa.

Naomba kusaidiwa wakuu.
 
Sisi tuna import kutoka China. Tunapatikana Mwanza Nyerere road.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…